Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,608
- 93,405
iKwa hiyo unachotaka kifanyike ni ushahidi wa Juliana Shonza dhidi ya Dk. Slaa ukaamuliwe na huyo huyo Dk.Slaa?
Ikishe mseme mnapigania haki?! SMH
Kuna tofauti kubwa sana kati ya Jukwaa la MMU na Jukwaa hili, huku hapahitajiki akili nyepesi, who is Juliana ndani ya Chadema? nieleze tu kwa mfano aliwahi kufanya nini ambacho cha kukumbukwa kama alivyokuwa Regia Mtema?
Zitto amefanya mazuri ya kukumbukwa ndani ya Chadema ndio anapoleta ujinga wake sasa hivi watu wanajisikia vibaya sana kumpoteza lakini si Juliana Malaya mbovu tu ambaye mimi binafsi nimemjuwa kwenye migogoro na siyo ujenzi wa chama.