wadau nailikuwa nauliza hatua zipi inapaswa kupitia ili pombe nayotaka itengeneza ikubaliwe na serikali kuwa si haramu nataka tengeneza pombe aina ya spirit iwe katika mfumo wa viroba
wadau nailikuwa nauliza hatua zipi inapaswa kupitia ili pombe nayotaka itengeneza ikubaliwe na serikali kuwa si haramu nataka tengeneza pombe aina ya spirit iwe katika mfumo wa viroba
Nikushauri uende wizara ya Viwanda na Biashara ili upate abc za biashara yako ( Kuna TBS,City/Manispaa/Halimashauri/Fire brigade/TRA), mpangilio utaupata Wizarani. Naomba wenye kufahamu zaidi watupe mwongozo zaidi.
Kuna mbunge alikuwa anatengeneza kiwanda kama chako,alikuwa na eneo kubwa na alishaanza ujenzi,nlikutana nae juzi kati nikamuuliza maendeleo ya kiwanda cha spirit au karinya akanjibu a lot of bureaucracy vikwazo kila sehemu