samuel Stuart
Member
- Jun 16, 2017
- 46
- 14
Nina hitaj kuwa siraha kwajili ya ulinzi wangu na familia yangu nifanyeje ili niweze kupata
Tanganyika arms wapo wapi?Kanunue kwanza Tanganyika arms. Nao wataitunza mpaka vibali vyako vitakapokamilika , Halafu risiti zako uende nazo kwa mwenyekiti mtaa wako, atakupa barua upereke kwa mtendaji wa kata , naye ana kamati yake itakayokupereka kwa OCD kwa ajili ya kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ambayo mwenyekiti wake ni DC na katbu wake ni ama TISS wa wilaya au OCD nao watakupendekeza kwa ile ya mkoa ambayo haina kazi sana. Kisha utapewa.
Uko mji gani?Tanganyika arms wapo wapi?
MbeyaUko mji gani?
Ushaur wako ni mzurUna utajiri wa kiasi gani? Je umeshawahi kutishiwa maisha? Kwa nini unataka kumiliki silaha hatari? Je wewe sio mtu wa hasira? Maana unaweza ukajikuta umeitumia hiyo silaha pasipo kukusudia...
Think twice...
Darasa la pili muheshimiwaMuandishi umeishia darasa la ngapi!?
Hyo title yako ni kama wew ndo unatoa muongozo kumbe unaomba msaada!
Duh sasa tufanyaje ili kujilinda na hawa jamaa wanao tulenga na kututishia maishaKibongo bongo kumiliki silaha ni kujitafutia matatizo kuna njemba zikijua tu unamiliki silaha zitafanya juu chini zikunyang'anye na wanatokomea nayo.