Tetesi: Hatua za kufuata ili kumiliki shortgun

Kanunue kwanza Tanganyika arms. Nao wataitunza mpaka vibali vyako vitakapokamilika , Halafu risiti zako uende nazo kwa mwenyekiti mtaa wako, atakupa barua upereke kwa mtendaji wa kata , naye ana kamati yake itakayokupereka kwa OCD kwa ajili ya kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ambayo mwenyekiti wake ni DC na katbu wake ni ama TISS wa wilaya au OCD nao watakupendekeza kwa ile ya mkoa ambayo haina kazi sana. Kisha utapewa.
 
Tanganyika arms wapo wapi?
 
Una utajiri wa kiasi gani? Je umeshawahi kutishiwa maisha? Kwa nini unataka kumiliki silaha hatari? Je wewe sio mtu wa hasira? Maana unaweza ukajikuta umeitumia hiyo silaha pasipo kukusudia...
Think twice...
 
Muandishi umeishia darasa la ngapi!?

Hyo title yako ni kama wew ndo unatoa muongozo kumbe unaomba msaada!
 
Kibongo bongo kumiliki silaha ni kujitafutia matatizo kuna njemba zikijua tu unamiliki silaha zitafanya juu chini zikunyang'anye na wanatokomea nayo.
 
Back
Top Bottom