Hatua ya kumpata mchumba wa ndoa ni ngumu

Hatua ya kumpata mchumba wa ndoa ni ngumu

Mapenzi ya kweli hamna,mmejaa usanii tu! kuna mda najikuta nawaona wanaume hawana lolote la maana maishani mwangu..Namove on na kujiweka bize na yangu.
Mkiona matatizo mnakimbia,Binti kanawiri unajileta ooh nakupenda!!
****** zenu wote! badilikeni msipende mtelemko..
Pole dada ndio maisha hayo.
 
nakumbuka sana maneno ya babu yangu; alinipa hints 5 muhimu za kuchagua mwanamke wa kuoa...lemme share with you guys huenda mkasaidika

no. 1: Mjukuu wangu usitafute mwanamke wa kuoa baada ya kupata msukumo wa mafanikio fulani katika maisha (elimu, pesa, kazi nk.) mwanamke unaetakiwa kumwoa ni yule atakaepita hatua kwa hatua na wewe hadi kufikia mafanikio yako.

no 2: Mjukuu wangu hakikisha unaoa mwanamke unayeweza kummudu kwenye kila aspect: mapenzi, maamuzi nk kwa sababu unaenda kuwa kiongozi wa familia yako na mkeo ni msaidizi wako (japo mke wako anatakiwa awe pia mshauri mzuri kwako sio kila kitu anakukubalia tu)

no 3: Mjukuu wangu hakikisha unaoa mwanamke ambaye malezi katika familia yao yanaendana na yako ili kusiwe na mgongano wa kimalezi kwa watoto wako (mfano ukitoka familia ya kidini basi hakikisha na mkeo anatoka kwenye familia ya namna hiyo)

no. 4: Mjukuu wangu ukioa oa mwanamke ambaye ni rafiki wa ndugu zako pia

no. 5: Mjukuu wangu ukioa basi oa mwanamke asiyependa kujionyesha (showoff) na kujivuna

Akamalizia kwa kusema kuwa, ukizingatia hayo mjukuu wangu basi ndoa yako itakuwa kama yangu ambayo mpaka leo najivunia kuwa na bibi yako na sijawahi hata siku moja kujuta kuwa nae.....Haya maneno aliambiwa baba yako na baba yangu na mimi leo nimetimiza wajibu wangu kukwambia wewe; na wewe utawaambia wajukuu zako pia maana hii ndo desturi ya ukoo wetu.
Hapa kuna kila dalili ya KUTOOA, kwa maisha haya ya sasa!
 
tafuta mwingine, huyo amekufanya spear part endapo atatoswa. but hakupend bal wewe unajpendekeza tu kwake. kaka ninauzof na hilo jambo, acha usije ukajuta. Mie ilinikuta, Mungu saidia nilikuwa na mtandao zuri wa marafiki wa kike may b ninge kufa kihoro. Ulishawahi toswa na binti akaarudi kwa yule ampendaye wakati umetoa mahali na umeanza kugawa kadi!
 
hehehe ana mtu wake so kujihamisha kwako ghafl aissue..asije haribu kule akaja kwakoikawa ovyo...mpe muda nawe akili kumkichwa...
 
Mi ningeshauri vinginevyo. Kwamba huyo mwanamke atamchukulia jamaa kuwa ni failure choice aka brand new second hand. Na wote tunajua jinsi ambavyo huwa tunavichukulia na kuhandle inferior materials. Badala ya kumuandaa huyo binti , azidi kumuomba Mungu ampatie ambaye ni fungu lake.
Hapa ndo kwenye shida.
 
Kwenye haya maisha ukibahatika kupata mwanamke na akakupenda haswa haswa ni wakumkumbatia sana
Usiforce akupende madhara ya kusema IPO siku atageuka ili umuoe halafu sijue akupendee utaumia sana😕
Kuna ukweli hapa.
 
Mambo ya kusubiri mwanamke amuachr mchumba wake akufuate wewe ni kujiweka hatarini mwenyewe, tafuta wa kwako mwenyewe huwez jua amewekeza mapenzii kiasi gani huko kwa mchumba wake ndo maana wanapata kigugumizi kukupa jibu la moja kwa moja
 
Habari wana MMU,

Siku zote huwa naamini katika kumuandaa mwanamke wa ndoa na maisha. Umri wangu ulipofika napaswa niishi na mke sasa, maana kama maisha pakuanzia papo. Siku za nyuma nikiwa shule mabinti nilishawahi kuwa nao wote niliotengeneza mazingira yakuwaandaa leo hii wameolewa kwani mimi nilikuwa sisomi sina kazi hivo hata waliponiitaji nitamke neno nilikuwa kimya maana nikawa sioni lini maisha nitatoboa. Na wengine nilipendwa ila nikakwepa kwakutumia kigezo cha kazi kwani hata sikuwapenda kivile.

Ila nimeingia kazini sasa, kuna binti ambaye nimempenda na natamani nimuweke ndani lakini, amekuwa ni mgumu kufanya maamuzi, akidai ana mtu ila matamanio yakuolewa anayo sina mapenzi ya kisanii, ila nimekuwa mkweli kwake muda wote na uwezo wakukomaa nikapata mtu mwingine ila kwakulazimisha nafsi sana. Nawaza moyoni, nimeongea naye karibia mara tatu kwa muda tofauti na sasa nimemaliza mwaka mmoja toka nianze kuwasiliana naye je kuna siku atabadili msimamo wake nakuja kwangu? Au ni sawa nakusubiri mvua kipindi ambacho nikiangazi?

Ni mtu ambaye tunashirikishana maswala mengi yakimaisha nakusaidiana kwa kiasi chake. Namuheshimu na ananiaheshimu pia, ila when it comes to that point dah! Maumivu ni kwangu kama kuna wenye mfano na matukio kama haya basi tupeane uzoefu labda nikichuja utanisogeza kama huna la kuongea soma upite tu, kejeli mwiko hapa.
Huyo binti anakutingishia kiberiti, nahisi amewaweka kwenye mizani wewe na huyo jamaa yake mwingine.

Sasa anachofanya ni kuendelea kuwa na ninyi nyote wawili huku akitegea mmoja wa kumchukua mwishoni ili akiachwa na huyu basi aolewe na mwingine so anatafuta security ili asikose potepote.

CHA KUFANYA: Fanya maamuzi magumu ya kumwambia unataka kupeleka posa kwao, halafu kata mawasiliano kwa muda kidogo kama siku 3 mpaka wiki, huku ukisubiri jibu lake (kwasababu watajadili na wazazi/ndugu zake) na hapo ndipo utajua msimamo wake rasmi.
 
"...amekuwa ni mgumu kufanya maamuzi, akidai ana mtu..."

Huyu binti amekupa heshima ya hali ya juu kukueleza ukweli.
Elekeza mipango yako kwingine.
 
tafuta mwingine, huyo amekufanya spear part endapo atatoswa. but hakupend bal wewe unajpendekeza tu kwake. kaka ninauzof na hilo jambo, acha usije ukajuta. Mie ilinikuta, Mungu saidia nilikuwa na mtandao zuri wa marafiki wa kike may b ninge kufa kihoro. Ulishawahi toswa na binti akaarudi kwa yule ampendaye wakati umetoa mahali na umeanza kugawa kadi![/QUOTE
love is a series of events, nikisema hanipendi nitakuwa mwongo ila upendo aliona kwangu si wakindoa zaidi ila kaka na Dada.
 
Back
Top Bottom