Terrible Teen
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 1,234
- 3,542
APEPEBasi wale tunaoamini katika Reincarnation au kuzaliwa Upya .
Basi tupitie Zaburi hii na tuseme amina kwa ajili ya mtumishi mwanasiasa yule apate kusamehewa na kerehemiwa afya yake ikae sawa kisha arudi katika majukumu yake .
Zaburi 118:17 Sitakufa, bali nitaishi, na kusimulia matendo ya Mwenyezi-Mungu.
Mwenyekiti wa waduduCodes mbona za moto hizi? Kuna nini?
😂😂😂😭🤣🤣🤣Mwenyekiti wa wadudu
Mikono yake imejee damu kama vipi Isaraili amalize tu.
Mikono yake imejaa damu.
Eeh si alikua mfanyakazi wa buchani ingejaa nini tena zaidi ya damuMikono yake imejaa damu.
Chinja chinja huyo amfuate role model wake huko jehanamEeh si alikua mfanyakazi wa buchani ingejaa nini tena zaidi ya damu
We zombi haujuiChinja chinja huyo amfuate role model wake huko jehanam
Anaokwa kama ndafu hukoWe zombi haujuiView attachment 3052674
Uzuri hakuuza nafsi yake kwa wale wazee wa NWOAnaokwa kama ndafu huko
Una uhakika gani?Uzuri hakuuza nafsi yake kwa wale wazee wa NWO
Walio huko na ambao tuna uhakika nao tunawajua,,,,hao ndo wanaenda kuokwaUna uhakika gani?
Labda Yesu wa KenyaDam ya Yesu imfunike popote alipo
Mchukua nauli mkuuCodes mbona za moto hizi? Kuna nini?