Sosthenes Maendeleo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 2,648
- 1,493
Hahahahah. Watoto wao wapo feza, st. marry, marian n.k nyinyi mkapita mkato? Kama mna ubavu wafuateni watoto wao huku msome adv level
Icho ndio chakufanyika sasaKwa haya wanayopitia wasomi wanafunzi wa nchi hii impact yake ni kubwa sana kwaTaifa kwani hata kama watarudi kusoma na kuja kuajiriwa sidhani kama watafanya kazi kwa moyo mmoja zaidi ya kuangalia maslahi yao binafsi kwa serikali yao haiwajali na inakuwa kama inawapa adhabu wakati wote wa masomo yao iwe katika ualimu, uhandisi, udaktari n.k serikali inawasomesha namba vijana kwa lazima matokeo yake rushwa, huduma mbaya hazitakoma nchi hii.
Vijana watendewe haki lakini kama kuna mtu aliingizwa kimakosa basi wahusika wakamatwe lakini wanapokamatwa na kufunguliwa mashitaka walioingiza DISI hewa nao wafuate mkondo ule ule ili haki itendeke.
Yap ni kweli hio taarfa IPO ila bado wanasema wanashrkiana na serekali kuwasaidia mahali pakuwapelekapitia web ya udom wameelezea kuhusu hao wanafunzi kwenye ripoti ya kikao cha council
Aisee haya maisha baada ya boom ni hatareekaazi ipo, sitafanya masiara 2020 kama uhai upo
Wasubiri nini?KAMA UNA DIV.ONE AU TWO SUBIRI KAMA UNA THREE TAFUTA NAMNA NYINGINE OVER CCM MBELE KWA MBELE
Habari za kazi,
Hivi ni lini serikali itatoa majibu ya moja kwa moja kwa wanafunzi wa program maalumu ya ualimu wa Sayansi na Hisabati waliondolewa katika Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)?
Maana mpaka sasa watoto hawaelewi wafanyaje na mliahidi baada ya wiki tatu mtatoa hatima yao ila yapata mwezi mmoja na wiki moja sasa hawaelewi hatima yao.
hahah... mwendo kasii huu sita vumiliaTuliahidiwa na Viwanda tuendelee kuvuta subra
kaka hii serikali inawaumiza watoto wamasikini muda huu wangekuwa kidato cha sitaSina hakika na Mhe. Ndalichako na mikakati yake kama wanafanya uhakiki na kupembua wasio na sifa ni vema jambo hili likawekwa wazi na sio kuwaacha vijana na wazazi wao wasijue la kufanya. Kama hawajamalizana na wahadhiri UDOM basi na liwekwe wazi hii ndiyo tunaita transparent l weadership vinginevyo hatuwezi kuwaelewa.
Ndio maana yakeSina hakika na Mhe. Ndalichako na mikakati yake kama wanafanya uhakiki na kupembua wasio na sifa ni vema jambo hili likawekwa wazi na sio kuwaacha vijana na wazazi wao wasijue la kufanya. Kama hawajamalizana na wahadhiri UDOM basi na liwekwe wazi hii ndiyo tunaita transparent leadership vinginevyo hatuwezi kuwaelewa.
Wamesema swala bado linashughulikiwa kwahyo mkae tayar muda wowote ule na limezunguziwa katka kikao cha udomJamani hitima ya wanafunzi(special diploma ) waliosimamishwa chuo kikuu cha dodoma itatolewa lini maana da vijana hawaelewi wafanyaje mtaani amna ishu!!!