Mimi nashauri kama washauri wa Mbowe cc Yericko.Al Nasr team la hovyo kabisa kuwahi kutokea !!
Namshauri astaafu soka sio lazima maana uwepo wake uwanjani anawapoteza tu wenzake
Kuna game hakuwepo na Al khadood kama sikosei wakishinda goli za kusaza Kila mechi ambayo Ronaldo yupo ushindi ni WA kusua sua sana
Akiwa kama 1st GOATWakuu Jana Christian Ronaldo katoa tamko baada ya kutamatika mechi kati ya timu yake ya Al nassri na Al fateh ambapo Al nassri alilala 3-2
Kauli Ile inaonyesha kuwa ni mwisho WA maisha ya nguli huyo pale al nassri je wapi tunatazamia kumuona akienda Kukipiga baada ya kuondoka aL nassri na sisi Kam wadau WA soka tunapenda kumshauri Nini au tuseme imetosha
Maan football haimdai akiwa kama 2nd goat🤣🤣🤣🤣🤣
ni sawa na ww kumuajiri bharesa unaweza kumlipa??Nashauri aendelee kukipiga, akistaafu boli ndiyo mwanzo wa Kuota Kitambi na kukaribisha Pressure na Kisukari Kwa pamoja
Akishindwa aje hata huku Bongo, Simba tunaweza kumsajili kwaajili ya kukuza biashara na brand ya Timu
Kuliko kuachia mwili na kunenepa hovyo, bora aendelee kuchezani sawa na ww kumuajiri bharesa unaweza kumlipa??
jamaa nimependa uandishi na mawazo yako yani hata chizi anakuelewaNashauri aendelee kukipiga, akistaafu boli ndiyo mwanzo wa Kuota Kitambi na kukaribisha Pressure na Kisukari Kwa pamoja
Akishindwa aje hata huku Bongo, Simba tunaweza kumsajili kwaajili ya kukuza biashara na brand ya Timu
Barikiwa Mkuu! 🙏🙏jamaa nimependa uandishi na mawazo yako yani hata chizi anakuelewa
kwanza ni short and clear yani umejibu swali na madhara yake ikiwa atafanya hivyo pili ukashauri nini afanye
Ronaldo anarudi Ulaya. Kule Al Nasri kuna washambuliaji wachoyo wa assist wanamchukulia poa Ronaldo akiwemo Mane na DuranWakuu Jana Christian Ronaldo katoa tamko baada ya kutamatika mechi kati ya timu yake ya Al nassri na Al fateh ambapo Al nassri alilala 3-2
Kauli Ile inaonyesha kuwa ni mwisho WA maisha ya nguli huyo pale al nassri je wapi tunatazamia kumuona akienda Kukipiga baada ya kuondoka aL nassri na sisi Kam wadau WA soka tunapenda kumshauri Nini au tuseme imetosha
Maan football haimdai akiwa kama 2nd goat🤣🤣🤣🤣🤣
Apumzike sasa,kinachofuata ni kuaibika tu...Wakuu Jana Christian Ronaldo katoa tamko baada ya kutamatika mechi kati ya timu yake ya Al nassri na Al fateh ambapo Al nassri alilala 3-2
Kauli Ile inaonyesha kuwa ni mwisho WA maisha ya nguli huyo pale al nassri je wapi tunatazamia kumuona akienda Kukipiga baada ya kuondoka aL nassri na sisi Kam wadau WA soka tunapenda kumshauri Nini au tuseme imetosha
Maan football haimdai akiwa kama 2nd goat🤣🤣🤣🤣🤣
Hahaha, Ukute mmelingana umri ujue huyo?Awe na kiasi naye, akalee familia yake na yule mke wake...
Au anaogopa life nje ya mpira??
Mi nimemuona Euro 2004 pale pale kwao Lisbon Ronaldo kacheza mpira kama ajira ya kudumu kabisaTime flies mara ya kwanza namuona huyu jamaa it was 2006 katika world cup I think muda unamwambi inatosha