Hatma ya nchi chini ya CCM: Masikio yote Dodoma

hivi huko SISIEM una cheo gani mama???
Mana una uchungu na SISIEM wakati wenye SISIEM wametulia tu.
Nilishakwambia katafute u-DC kwanza ndo utapewa ukuuu wa Wilaaya
 
CCM inakuwaje baba kama inashindwa "kuzia mafuriko kwa mikono"?
 

NI kweli hatma ya nchi ipo dodoma chini ya ccm

mimi ni kambi lowassa, JULIANA jiweke wazi wewe ni kambi gani ili ubunge ukujie au uhusahau kabisa 2016
nakukumbusha hamna cheo cha kuandika andika, kama nile waislam wanavyokumbushwa hamna pepo ya kuswaliswali
kuwa muwazi jiweke kwenye kambi mmojawapo kivitendo kuwinda ukuu wa wilaya otherwise umeze mchina ....ubinukebinuke
 
Eti CCM ndiyo baba na ndiyo mama wa nchi hii!!....labda ni baba na mama wa uzembe, udhalimu, ufisadi, wapokeaji rushwa, wauza unga, majangili, magaidi, unafiki na umbambikiaji kesi. Miaka 54 madarakani with nothing important to show off. Hata muasisi wa CCM Baba wa Taifa alikuwa mkweli na kutamka hadharani kwamba, "CCM si mama yangu"
 

Watawaambia wananchi kuwa umasikini walionao umetokana na ufisadi unaofanywa na CCM.

Watawambia kuwa kuichagua CCM inayo kufa ni kujichagulia kifo.

Watawaambia kuwa CCM imezeeka inaelekea kufa kwa hiyo wajiandae kuizika rasimi hapo mwezi wa 10.

Watawaambia kuwa kwa mabadiliko na maendeleo ya Taifa,wachague UKAWA.
 

Kazi moja kubwa na ngumu inayo mtofautisha shetani na mwanadamu hata kama huyo mwanadamu ni mbaya kiasi gani, lkn hawezi kufanana na shetani ni mtu kuidanganya nafsi yake, hili shetani analiweza na ndo maana ktk Biblia anaitwa baba wa uwongo,
Sasa ninapo anza kuona mwanadamu anathubutu, kuikana nfsi yake kwa kujikana alivyo kiwa anaamini mwanzo kwasababu ya pesa yaani rushwa na roho ya usaliti, nachelea kusema ule mwisho umekaribia maana ile roho ya uasi ya shetani inazidi kutenda kazi ndani yako shonza,
Lkn kumbuka maneno yako hayawezi kuugeuza upepo ambao unavuma upendako, na huwezi kuuzuia,
 
CCM ni baba wa familia yako wewe na njaa zako sisi wengine usituhusishe!
 

Ni kweli Juliana wewe ni mfano mbaya sana wa usaluti. Hivi unaweza kuvadili itikadi kirahisi hivyo just kwa kuhongwa? Juzjuzi wewe ulikuwa Kiongozi Bavicha leo eti wrwe ni ccm kinskindaki! Kweli? Nini unachokisimamiwhat is your ideology. Una principles za maisha? a ktk maisha yako?Mwanamke una price tag! Aibu! Wewe na Zitto walewale! Kwa hiyo kuposti hivi kunatosha kukufanya nawe uonekane umeipigania Ccm? Ustahili kupata cheo huko mbeleni?! Juliana wewe ni kichefuchefu sana. Hasa kwa umslaya wa kisiasa. Unasema Ccm ni bb kwa sababu wanakulisha au kwa sababu linatoka moyoni?Very unfortunate kwamba upinzani uliwahi kuwa na takataka lm wewe.
 
Ni kweli kabisa, CCM ndio imebeba jukumu la kutuletea Rais bora!


AaaAAaaaaAAAaAAaAAaaAaaAaaAAAAAaA@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@
 
hizo ahadi mlizotekeleza nyie ni zipi?
 
Hakuna lenye mwanzo lisilokuwa na mwisho mwisho wa ccm umeshafika sasa tunasubiri kujiandikisha na kutoa hukumu zetu kwenye sanduku la kura Juliana hata mgonjwa anayekaribia kufa hujipa moyo sana anaweza kupona kumbe muda wake wa kufa umefika endeleeni kujifariji mpaka octoba kitaeleweka .
 
Last edited by a moderator:
Heshima yako mkuu hawa wachovu wanajua watanzania wale ni wale miaka 1995 wanajidanganya sana watanzania wa leo wanajua kila kitu wizi wao na ufisadi umesababisha huduma mbovu na ugumu wa maisha kwa kila mtanzania hiyo ishara tosha kwa watanzania kuamua kufanya mabadiliko makubwa kwa kuiondoa madarakani serikali ya ccm.
 
Reactions: BAK
CCM inakuwaje baba kama inashindwa "kuzia mafuriko kwa mikono"?

Huyo ndo ameshikilia roho ya ccm wana hali mbaya sana kupitishwa kugombea ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano .liwalo na liwe wampitishe wasipomtisha ccm lazima mwaka huu waondoke madarakani.
 
Reactions: SMU

Watahitajika waburudishaji kwenye kikao hicho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…