Hatma ya mwenyeji wa AFCON ipo mikononi mwa Tanzania na Zambia

Ila ningekuwa Rais wa nchi, aisee wachezaji wote wa Taifa Stars baada tu ya hayo mashindano, ningewapeleka kwenye kambi mojawapo ya jeshi, ili wakafundishwe walau kwa wiki moja tu; masuala mbalimbali! Yakiwemo yale ya uzalendo na pia ukakamavu.
Wachukue hao wanajeshi wakacheze huenda watabeba kombe
 
Leo tarehe 24.01.2024 hatua ya makundi ya michuano mikubwa barani Afrika ya AFCON inatamatika.

Mwenyeji Ivory Coast bado ana nafasi finyu ya kutinga hatua inayofuata ya mtoano. Hivyo anaombea kundi F libaki na matokeo yatakayokuwa mazuri upande wao.

Zambia ipigwe na Morocco pia Tanzania ipigwe na Congo DRC vinginevyo kama Zambia ikishinda au kutoa sare wataaaga mashindano. Pia Tanzania ikishinda ndio basi tena.

Nini tutarajie?
Mechi hizo mbili ndio zitafuatiliwa zaidi na wenyeji siku ya leo na zitakuwa ngumu sana, yaani za jasho na damu. Pia Tanzania na Zambia watahujumiwa. Hii ni Afrika.

Kutoka kwa mwenyeji mapema kutapoza mashindano hivyo leo marefa watakuja na matokeo yao mfukoni. Watanzania ambao bado mna uzalendo iombeeni timu yenu.

Nalog out.
Anaomba pia Namibia afungwe kwa idadi yoyote ile ya magoli.
 
Mechi ya Tanzania na congo Wala Haina msaada wowote kwa ivory coast fuatilia mpira vizuri... Maana wakitoa draw bado congo atakaua na point 3 na goal difference yupo vizuri kuliko ivory coast... Tanzania akishinsa atakua na point 4 kushinda hao wenyeji...

Mwenyeji anaombea tu Zambia apigwe ye anapita automatically bila kujali matokeo ya tz na congo
 
Ndio maanaa kasema ipo mikononi mwa mechi ya Tanzania na Zambia.
Kama Tanzania itashinda na Zambia itashinda leo ina maana
Morocco na Tanzania wote watakuwa na point 4 na watastahili kufuzu kwa best loser.

Kama Zambia atatoa sare na Congo akatoa sare inamaana Congo na Zambia wanaweza kufuzu kwa best loser kwa kufikisha point 3 sawa sawa na Ivory coast ila wao watakuwa na advantage ya kutokufungwa magoli mengi.
 
Congo akishinda au akitoa sare anapita, congo akifungwa Tanzania wanapita.... Hii mechi Haina maana yoyote kwa ivory coast... Ili apite lazima anaomba tu Zambia wafungwe..... Wakifungwa Zambia hata tz na congo tutokaje ye haitamuadhiri chochote.....

Kwa kifupi matokeo yoyote ya tz na congo lazima Kuna mtu atamaliza mbele ya ivory coast kwa io Hio mechi haimuhusu hata matokeo yawe vipi
 
Nimeshaelewa point yako. Ni sahihi Zambia ndio iliyobeba hatima ya Ivory coast ila nimejaribu kuangalia vizuri msimamo ni kwamba hadi sasa Mauritania na Guinea wameshakuwa juu ya Ivory coast. Hivyo imebakia nafasi mbili ya best loser ambapo naona hata Namibia inayo nafasi kama leo atapunguza idadi ya magoli. Hivyo mechi za makundi ya leo ndio itatoa hatima ya Ivory coast
 
Ila ningekuwa Rais wa nchi, aisee wachezaji wote wa Taifa Stars baada tu ya hayo mashindano, ningewapeleka kwenye kambi mojawapo ya jeshi, ili wakafundishwe walau kwa wiki moja tu; masuala mbalimbali! Yakiwemo yale ya uzalendo na pia ukakamavu.
Hii inapaswa kuwa wiki mwezi mmoja kabla ya michuano muhimu.

Umewaza vema Mkuu.
 
Kutoka kwa mwenyeji mapema kutapoza mashindano hivyo leo marefa watakuja na matokeo yao mfukoni. Watanzania ambao bado mna uzalendo
Mpaka sasa hakuna refa aliyeonesha dalili yeyote ya kupangwa.

Vijana Wapambane Tu.
 
Huu ni mwaka 2024 bado kuna watu mnaamini kwenye mpira kuna bahati?

Nyiee
Haukuleta ule mjadala wa bahati ila unakumbuka nilichokuwa nimesema kuhusu Ivory Coast? Sasa jana ndiyo uliona nini kinatokea pale juhudi inapokutana na bahati. Wakati mwingine juhudi pekee haitoshi kukupa mafanikio.

Ni afadhali CV avuke maana wamefanya uwekezaji wa maana katika miundombinu yao ya soka na wachezaji wanajituma, ni bahati tu haijawa upande wao. Ningependa kuona wakivuka ili kuendelea kunogesha mashindano. Haipendezi mwenyeji kutoka mapema.
 
Haukuleta ule mjadala wa bahati ila unakumbuka nilichokuwa nimesema kuhusu Ivory Coast? Sasa jana ndiyo uliona nini kinatokea pale juhudi inapokutana na bahati. Wakati mwingine juhudi pekee haitoshi kukupa mafanikio.
Jana Ivory Coast kapambana hakukuwa na bahati pale. Senegal alizidiwa kila kitu na The Elephants. Energy, possession, matumizi ya nafasi, uafanisi hasa kwenye upigaji wa penati, Ivory Coast walistahili huu ushindi na sio bahati iliyowabeba.
 
Unadharau sana role ya bahati katika maisha. Labda haujayaishi vya kutosha
 
Napata audacity ya kuyasema haya coz am old enough kutambua nguvu na maana halisi ya bahati. Am doubting you are too young not understand me.

Hii mada nitaifungulia uzi tupate na maoni ya wengine
 
Back
Top Bottom