Hakuamini alipopata kura kiduchu,kumbe yalikuwa mafuriko fekiHahahaaaaa😉 kudadeeeki....mafuriko yalimlevya.
Ng'ombe wasio na mikia ni hatari.Mh Raisi Magufuli naomba nikushauri kama mtoto na mwananchi wakawaida
Ili CCM iwe zuri ladhima tujengee aina ya nidhamu.watu wote wanaohama chama nashauri hakuna kurudi kbsa kbsa kbsa wasiwe tena na nafasi katika utawala wako.hii itafanya chama kuwa na nizamu kubwa sana sana
hakuna kasi wala nini,,CCM imejaa wezi walikuja CDM wakakoswa wezi wenzao ndio maana wamerudi kwao na kingine kwann walipokuwa CDM walikuwa makapi lakini waliporudi ccm wale wanafiki waliowaita makapi ndio waliowapokeaWanaosema upepo wa Lowasa uliitikisa CCM wasisahau kusema upepo huu pia uliwamaliza kisiasa wasiasa mahiri kama Lembeli na wengineo ambao walisombwa na upepo wa Lowasa na kumfuata upinzani.
James Lembeli ni miongoni mwa wabunge mahiri waliokihama chama cha CCM nakukimbilia CDM.
Ukweli ni kwamba kuhama chama si kosa ila hupaswi kuhama hovyo bali inahitaji sana timing na hili ndilo kosa la wote walioihama CCM kipindi nchi ikiwa kwenye maandalizi yakumthibitisha Magufuli kama raisi wa awamu ya tano.
Ni kweli kwasasa hatma yakisiasa kwa James Lembeli imeshaonekana na hata ukitizama kwa sasa yupo kimya si mitandaoni,radioni ama Luningani.
Nafikiri tangu mwaka huu uanze huenda labda mimi ndio nitakua wa kwanza kumfanya akumbukwe kupitia JF.
Jana tumewaona Fredy Mpendazoe na mzee Mgana msindai wakirejea kutoka uhamishoni na naamini huu ni mwanzo tu ila kwa kasi ya Magufuli tutarajie wengi kurudi CCM.
Kwa hali ilivyo sasa nawiwa kusema kwamba ilikua ni timing mbovu kwa James Lembeli kuihama CCM kwani imepelekea kujiua mwenyewe kisiasa.
lembeli kama akitaka kupoteza heshima aliyojijengea arudi ccm. sifa ya mwanasiasa makini ni kuwa na msimamo usioyumba kama dr. slaa....
Chama cha majizi kiasi kwamba wanajipiga ngwala na kujiibia million 10 za posho zao wenyewe !!!!
Wakipewa nchi itakuwaje???Nawaomba watanzania wenzangu tuungane Majizi Chadema hawana nafasi.
ukimuona muulize kama ameshaziona nyeti za kuku.Wanaosema upepo wa Lowasa uliitikisa CCM wasisahau kusema upepo huu pia uliwamaliza kisiasa wasiasa mahiri kama Lembeli na wengineo ambao walisombwa na upepo wa Lowasa na kumfuata upinzani.
James Lembeli ni miongoni mwa wabunge mahiri waliokihama chama cha CCM nakukimbilia CDM.
Ukweli ni kwamba kuhama chama si kosa ila hupaswi kuhama hovyo bali inahitaji sana timing na hili ndilo kosa la wote walioihama CCM kipindi nchi ikiwa kwenye maandalizi yakumthibitisha Magufuli kama raisi wa awamu ya tano.
Ni kweli kwasasa hatma yakisiasa kwa James Lembeli imeshaonekana na hata ukitizama kwa sasa yupo kimya si mitandaoni,radioni ama Luningani.
Nafikiri tangu mwaka huu uanze huenda labda mimi ndio nitakua wa kwanza kumfanya akumbukwe kupitia JF.
Jana tumewaona Fredy Mpendazoe na mzee Mgana msindai wakirejea kutoka uhamishoni na naamini huu ni mwanzo tu ila kwa kasi ya Magufuli tutarajie wengi kurudi CCM.
Kwa hali ilivyo sasa nawiwa kusema kwamba ilikua ni timing mbovu kwa James Lembeli kuihama CCM kwani imepelekea kujiua mwenyewe kisiasa.
Hahahahahaha dah, jamii forum ina kila aina ya burudani.Nipokea ushauri wako ni mzuri. Mimi kazi yangu nikutumbua na nitambua kweli kweli haya majipu
Hivi had leo watu bado wanawaza ukabila na kuu-like! Iv ku-ban-iwa had uongee tusi kubwa kiasi gani zaidi ya tusi hili la mawazo ya kizamani ya u-kabila,u-dini na u-kanda?haa haa huenda naye lembeli akahamia kwa msukuma mwenzake. jana cheyo katuthibitishia hilo. sijui sisi wangoni lini tutakamata ikulu....maana kwa sasa ukiwa ngosha mambo yako saaaafu.
Hivi unaongea nini wewe, kama angebaki ccm, je angekuwa na tofauti gani na leo, kama kura za maoni walishamuacha sasa amejimalizaje kisiasa aliahidiwa kuwa asipo kuwa mbunge angepewa cheo gani, tafakari kabla ya kuandika wewe.Wanaosema upepo wa Lowasa uliitikisa CCM wasisahau kusema upepo huu pia uliwamaliza kisiasa wasiasa mahiri kama Lembeli na wengineo ambao walisombwa na upepo wa Lowasa na kumfuata upinzani.