Umevimbiwa wewe!!!!Wanaosema upepo wa Lowasa uliitikisa CCM wasisahau kusema upepo huu pia uliwamaliza kisiasa wasiasa mahiri kama Lembeli na wengineo ambao walisombwa na upepo wa Lowasa na kumfuata upinzani.
James Lembeli ni miongoni mwa wabunge mahiri waliokihama chama cha CCM nakukimbilia CDM.
Ukweli ni kwamba kuhama chama si kosa ila hupaswi kuhama hovyo bali inahitaji sana timing na hili ndilo kosa la wote walioihama CCM kipindi nchi ikiwa kwenye maandalizi yakumthibitisha Magufuli kama raisi wa awamu ya tano.
Ni kweli kwasasa hatma yakisiasa kwa James Lembeli imeshaonekana na hata ukitizama kwa sasa yupo kimya si mitandaoni,radioni ama Luningani.
Nafikiri tangu mwaka huu uanze huenda labda mimi ndio nitakua wa kwanza kumfanya akumbukwe kupitia JF.
Jana tumewaona Fredy Mpendazoe na mzee Mgana msindai wakirejea kutoka uhamishoni na naamini huu ni mwanzo tu ila kwa kasi ya Magufuli tutarajie wengi kurudi CCM.
Kwa hali ilivyo sasa nawiwa kusema kwamba ilikua ni timing mbovu kwa James Lembeli kuihama CCM kwani imepelekea kujiua mwenyewe kisiasa.
CCM inakufa kabla ya 2019Chama cha majizi kiasi kwamba wanajipiga ngwala na kujiibia million 10 za posho zao wenyewe !!!!
Wakipewa nchi itakuwaje???Nawaomba watanzania wenzangu tuungane Majizi Chadema hawana nafasi.
mwenye mkia. nafikiri wewe ni yule ng`ombe ambaye anawapandia wenzake akiwa kwenye ''heat period'' akiwapa wenzake sign iliapewe mzigowewe ni ng'ombe yupi? mwenye mkia au asie na mkia
acha kuchizika kabla ya ccm, ccm ilikuwa wapiAcha ubwege kabla ya upinzani wapinzani walukuwa wapi?
anaposti tu asiyoyajua kapoteza kumbukumbu, yuko kwenye heat period anadandia tuWewe ni punguani kabisa,unayaandika usiyoyajua.Lembeli aliamia Chadema na Ester Bulaya,long before Lowassa chipped in.
Sasa unaposema Lembeli alimfuata EL,kwa mantiki hipi.
Mh Raisi Magufuli naomba nikushauri kama mtoto na mwananchi wakawaida
Ili CCM iwe zuri ladhima tujengee aina ya nidhamu.watu wote wanaohama chama nashauri hakuna kurudi kbsa kbsa kbsa wasiwe tena na nafasi katika utawala wako.hii itafanya chama kuwa na nizamu kubwa sana sana
Hakuna aliyerudi...take it from ME.Lowassa yuko very strategic na anajuwa jinsi ya kucheza cards.Mzee Msindai hawezi kujidhalilisha anajuwa anachofanya...Muda ukifika tutajuwa.
Hahahaaaaa😉 kudadeeeki....mafuriko yalimlevya.Mzee wa nyeti za kuku
Unajifaliji, ruhusuni mikutano muoneChama cha majizi kiasi kwamba wanajipiga ngwala na kujiibia million 10 za posho zao wenyewe !!!!
Wakipewa nchi itakuwaje???Nawaomba watanzania wenzangu tuungane Majizi Chadema hawana nafasi.
lembeli kama akitaka kupoteza heshima aliyojijengea arudi ccm. sifa ya mwanasiasa makini ni kuwa na msimamo usioyumba kama dr. slaa....
Kweli kabisa mkuu, ngatuni hajui ni vita gani Lamberi (Lemberi) he fought in CCM, na si yeye tu hata marehemu filikunjombe kwa kupambana nanyi katika uovu na ufisadi na wote tunajua nini amekua akifanyiwa na hata baada ya kufa tumesikia matamko yakitolewa na vilaza na makuwadi wa ufisadi.Nidhamu katika uovu. Unajua ilimchukua kiasi gani Lamberi kupingana nanyi ktk ufisadi na kulindana katika uovu huo? By the way, mlishinda uchaguzi kahama?