gimmy's
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 3,323
- 3,377
Wanaosema upepo wa Lowasa uliitikisa CCM wasisahau kusema upepo huu pia uliwamaliza kisiasa wasiasa mahiri kama Lembeli na wengineo ambao walisombwa na upepo wa Lowasa na kumfuata upinzani.
James Lembeli ni miongoni mwa wabunge mahiri waliokihama chama cha CCM nakukimbilia CDM.
Ukweli ni kwamba kuhama chama si kosa ila hupaswi kuhama hovyo bali inahitaji sana timing na hili ndilo kosa la wote walioihama CCM kipindi nchi ikiwa kwenye maandalizi yakumthibitisha Magufuli kama raisi wa awamu ya tano.
Ni kweli kwasasa hatma yakisiasa kwa James Lembeli imeshaonekana na hata ukitizama kwa sasa yupo kimya si mitandaoni,radioni ama Luningani.
Nafikiri tangu mwaka huu uanze huenda labda mimi ndio nitakua wa kwanza kumfanya akumbukwe kupitia JF.
Jana tumewaona Fredy Mpendazoe na mzee Mgana msindai wakirejea kutoka uhamishoni na naamini huu ni mwanzo tu ila kwa kasi ya Magufuli tutarajie wengi kurudi CCM.
Kwa hali ilivyo sasa nawiwa kusema kwamba ilikua ni timing mbovu kwa James Lembeli kuihama CCM kwani imepelekea kujiua mwenyewe kisiasa.