Hatma ya Freeman Mbowe CHADEMA


Succession Plan ya Mbowe ipoje? Ameandaaa wa kumrithi? au anahisi bila yake hakuna wa kuindeleza CDM? Kama ni hivyo ina maana basi si kiongozi wa kupigiwa mfano, maana ameshindwa kuindeleza CDM baada yake.
 



mwishoe atakosa sifa nzuri ya Uongozi kama Marais Dikteta waliopinduliwa
 
Katiba ya chama imeondoa ukomo wa uongozi. Hii haina afya sana. Chama kama kina wanachama dhaifu na wasioweza kumchallenge kiongozi aliyepo madarakani, kuna hatari ya kuzaa kiongozi wa maisha. Kama Nchi tuepuke kabisa na hii minong'ono ya kutaka kufanya amendmenet ya Katiba na kuondoa muda wa ukomo wa Urais au kusogeza kutoka 5 to 7 per one term.
 
Mleta mada hana tofauti yoyote kiitikadi na mtazamo na watu kama akina Juma Nkamia wanao amini hakuna kiongozi anayefaa kwa sasa kama aliyepo, na hakuna sababu za kuondoka hivyo ahalalishwe kiujanja janja kikatiba kwa kuondoa ukomo
Afrika kumshinda aliyeko madarakani ni mtihani mkubwa

Matatizo makubwa ya nchi zetu za ki Afrika ni kupenda kulalamika hakuna demokrasia wakati mlalamikaji mwenyewe haonyeshi kama anaiheshimu demokrasia

Viongozi wengi madikta wa afrika wanapambana na viongozi madkteta wapinzani ndani ya himaya zao

Leo hii Kagame na wafuasi wake wanaamini Rwanda bila kagame haiwezekani
Museven wale wale tu , na wameiga toka kwa viongozi wengine kama akina Mugabe

Ukija upande wa wapinzani nako ni yale yale tu, hawataki challenge ya demokrasia ndani ya vyama vyao ila wanataka demokrasia iwebebe wao tu kwenye chaguzi
Miaka nenda miaka rudi utawasikia Odinga, Besegye nk


Kama 90% ya wana Chadema wanaona hakuna kiongozi anaweza kuongoza chama zaidi ya Mbowe kwa mema aliyofanya so far hadi kufikia kumuhalalisha kikatiba kuondoa ukomo.
Kutakua na ajabu gani kwa wengine kuona hakuna rais anayeweza kuongoza nchi zaidi ya Magufuli na wakaamua kumhalalisha kikatiba?

Kama unaamini katika demokrasia basi ioneshe kwa vitendo kuanzia upande wako
 
Mbowe Tano Tena
 
Mutungilehi, Cheyo, Dan Makanga hawajawahi kuwa wabunge wa chadema
 
Succession Plan ya Mbowe ipoje? Ameandaaa wa kumrithi? au anahisi bila yake hakuna wa kuindeleza CDM? Kama ni hivyo ina maana basi si kiongozi wa kupigiwa mfano, maana ameshindwa kuindeleza CDM baada yake.
Blah Blah
 
Hivi wewe, Nkamia na Mkulima ni ndugu?
 
Mfano mdogo tu aangalie Cancellor wa Ujerumani na PM wa Israel
 
Nashindwa kukubali au kukanusha dai/hoja kwamba CHADEMA imefika hapo ilipo (Chama Kikuu cha Upinzani) kwa juhudi au mikakati ya Mbowe kwa kuwa waleta dai/hoja hiyo hawabainishi juhudi/mikakati hiyo ni ipi.

Yote tisa yawe kweli, moja tu la kumi tukubali kila binadamu ana ukomo wake wa kufanya/kutenda kwa kiwango cha juu. Kwa sababu ya mapungufu hayo ya kibinadamu na mabadiliko ya kijamii, kisiasa, kiuchumi na kiteknolojia, ni dhahiri kwamba Katiba nyingi huweka ukomo wa uongozi.

Isitoshe hata kiuhalisia hakuna binadamu anayejitosheleza.
 
1. Mkuu narudia tena hakuna kipengele kilichofutwa bali katiba mpya ilikuja na maoni mapya yasiyokua na ukomo wa mihula ya mtu kugombea ingawa kila cheo kinakuwa valid kwa miaka 5 tu sema hauzuiwi kugombea tena uenyekiti kama una sifa na hapa ntaweka katiba usome ili uone sio kwa mwenyekiti wa taifa tu bali position zingine kibao tu ila sielewi kwanini interest ipo kwa Mbowe tu!!

2.Mkuu nimeshasema ukomo ni miaka mitano ila hujazuiwa kugombea tena na tena kama utakidhi vigezo na utashinda uchaguzi. Ukiangalia Mbowe toka ameshika madaraka kila uchaguzi chama kilikua kinaongeza asilimia za ushindi na viongozi ngazi za uchaguzi wa mitaa hadi taifa sasa ulitaka asipitishwe tena?? Kiufupi hakuna mwenyekiti wa chama chochote Tanzania ambaye chama chake kinaongezeka kura kila uchaguzi kama CHADEMA chini ya Mbowe so alichaguliwa based on merits sio upendeleo.
3. Huwezi tawala milele sababu kuna uchaguzi kila baada ya miaka 5. Unajua hata haya madikteta ya Afrika kama kagame na museveni hawapo madarakani eti sababu wameondoa vikomo vya Urais bali wapo sababu hakuna uchaguzi huru na haki hivyo kama ukiwepo uchaguzi huru hta mbowe asipotaka kutoka ataondolewa kwa Sanduku rejea kilichotokea kwa Yahya Jammeh na Issa Hayatou na unieleze Je ukomo wa madaraka au uchaguzi huru na haki upi ndio demokrasia haswa?
 
Na Mbowe anajitengeneza kuwa Sultan, siasa za Kiafrika Hovyo sana
 
Tundu Lissu hafai kuwa Mwenyekti wa Chadema kwa kuwa ana mpango wa kuungana na Wahaini wa Visiwan pamoja na Mbembe mmoja toka Ujiji Kigoma ili kumvunja moyo Rais wetu kukomboa Nchi
KWA NINI WATUITA WAHAINI SISI WATU WA VISIWANI?
WEWE KAMA NI MPENZI WA CCM ,SHAURI LAKO LAKINI NA SISI TUNAYO HAKI YA KUPENDA VYAMA VYETU TUNAVYOAMINI VITATULETEA MATUMAINI NA UHURU KAMILI WAZANZIBAR,KWANI CCM IMETUSALITI NA KUTUGEUZA KOLONI.
SHUT UP YOUR.................LIPS AND WATCH
UKAWA UNACHUKUWA NCHI MWAKA HUU ,CCM HAINA MANUSURA.ENDELEENI KUGOMBANA WENYEWE KWA WENYEWE ,TAIFA MUMELITIA NJAA KALI KWA RAIA.
 
Nakuunga mkono Mia kwa Mia
 

So unaamini kuwa hata chamani hakuna uchaguzi huru na wa haki si ndio, maana Mbowe na hao ni same story different versions but all are true. Wengine n nchi na mwingne ni chama ila utaratbu n ule ule na njia n ileile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…