Hatimaye Zitto Kabwe akaa meza moja na UKAWA

Leo ccm kesho ukawa huyo ndio ayatollahh zzknuru na taswira ya chama.popo wa siasa itikadi vuguvugu
 
Tupo wachache tunaoamini kuwa Zitto anaweza na tusiyoyumbishwa na wanasiasa wachumia tumbo. Bado Zitto anadhihirisha kuwa yupo kwa maslahi ya taifa. Sisi tunaokuamini tutaendea kukuunga mkono katika harati za kutetea taifa. Pongezi kwa Ukawa kwa kumuunga mkono kwa maslahi ya Taifa. Sisemi wamemuogopa au wamempigia magoti ila wameangalia maslahi mapana ya taifa. Hongereni sana na tuweke itikadi za vyama pembeni katika kutetea maslahi ya taifa. Tuungane kwa pamoja kujenga nchi yetu.
 
zitto maji yapo shingoni.. kwenye hotuba ya pombe alijifanya mwenye busara.. leo kawa mwehu sawa na vijana wa ukawa
Hivi kati ya Zitto na Ukawa nani mwehu? Waliotoka nje kwa kukataa kumtambua rais akihutubia na leo wanadandia kuchangia hotuba waliyokataa kuiskiliza, kisa hawatakuwa live wakiuza sura!!! Nani hapo anaakili za m*kalioni??
 
Aibu! Mnafiki,Msaliti kaibua hoja nyie mimaji pwapwapwa. Mmeiva. Zitto ni habari ingine kabisa. Rejea hotuba ya kuliaga bunge! Go Zitto.

Pole,siyo pro binadamu naongea kama mimi nasio kama akili za mtu mwingine
 
Naona haya maneno 'ufisadi' na 'usaliti' yatakosa kutajwa kabisa huko UKIWANI. Naona Mbowe anajichekesha tu kwa mpinzani Zitto hapo....BAR YA VICHAA mtakuwa na kazi gani sasa!?

wewe unajitambua kweli ? hivi SISIYEMU na maozo yake yote unaweza kuitetea?? Hebu nipe hoja ya msingi kwanini Wabunge wa SISIYEMU wanataka Bunge lisionyeshwe Live? kama ni kubana matumizi kwanini wasipunguze posho zao zote wabaki na mishahara tuu, ili tuwaone kama kweli wana nia ya dhati ya kupunguza matumizi ? au kama wameshindwa kuonyesha Bunge live basi waviachie vyombo binafisi vionyeshe live.Mtu mwenye akili timamu hawezi kushabikia upupu wanaofanya wabunge wa SISIYEMU.Na wanajeuri kwasababu wako wengi wanajua hoja itapita tuu kwa kuwa wako wengi.
Hata mwaka 2004 waziri wa Elimu Mungai alipokuwa akifuta masomo ya biashara,kilimo,ufundi na kuunganisha physics with chemistry walikuwa wakishabikia kama hivihvi leo wanavyofanya,na walijua kabisa wanacho kifanya hakina maslahi kwa nchi na baadaye wakalaba matapishi yao 2006 wayarudisha tena hayo masomo.
pia masuala ya G.P.A Waziri kawambwa alipopeleka hoja bungeni,wabunge wa sisiyemu walishabikia hivi hivi kama leo wanavyoshabikia T.B.C kutoonyesha bunge live,sasa juzi wamelamba matapishi yao kwa kufuta G.P.A na kurudisha mfumo ule ule wa Division
Juzi serikali hiyo hiyo ya SISIYEMU inataka matangazo ya live ya bunge yasionyeshwe live eti kwa lengo la kubana matumizi,Je wana akili timamu kweli ?? mimi nadhani hawa wabunge wanastahili kupimwa akili kabla hawajaingia bungeni.Hata mtoto wa darasa la kwanza anashangaa ?? Hawa wabunge wa sisiyemu hiyo ni hoja ambayo sisi tumewatuma wakajadili?? nani aliwaambia kuwa wananchi wa Tanzania kero yao kubwa ni bunge kuonyeshwa live?? UNAJUA hawa wabunge walio wengi wanatufanya sisi wananchi wajinga, ndo maana wanafanya wanavyotaka wao.Lakini najua hata kama watafanya hivyo watakuja lamba matapishi yao si muda mrefu.
Hii ni baadhi tuu ya mambo yanayo kera sana,nadhani hata Magufuri anawashangaa wanacho kifanya kama alivyokuwa akishangaa awamu iliyopita.
Na kuhakikishia Magufuri anakazi sana kwa wabunge hawa wa sisiyemu hakuna maendeleo yatakayofanyika kama Rais atawaacha waendelee na upupu huu.
Mwl.Nyerere alisema hakuna umasikini mbaya kuliko wote kama umasikini wa fikra, hawa wabunge waliowengi uwezo wao wao wa kufikiri umefika mwisho.
Yale maneno ya akili ndongo haiwezi kuongoza akili kubwa ndo inajidhihirisha hapo, wenyewe wanadhani kuingia bungeni basi wana akili nyingi kuliko cc ambao tuko nje?
ANGALIA MASLAHI YA TAIFA USIANGALIE MASLAHI YA CHAMA.
KWA MTINDO HUU SISIYEMU HAIWEZI KUTUFIKISHA POPOTE. Anyway
 
Inawezekanakwa karne ya 21 wabunge wa SISIYEMU ni Jipu wanatakiwa kutumbuliwa,sisi tunatakiwa kuona live kama wabunge wetu wanawasilisha matatizo yetu bungeni,Je wanataka isionyeshwe live ili waendelee kulala? .Hivi kweli mtu mwenye akili timamu anaweza kukata uti wake wa mgongo wa na akiwa anajishangilia akitegemea ataendelea kuishi? Asilimia 75 ya watanzania wanategemea kilimo na wabunge wa sisiyemu walijua hilo lkn walishangilia kufutwa kwa somo la kilimo, hao watu wana akili timamu kweli ??
 
Zitto kweli anahitaji pongezi japo watu kama kina Mnyika na Lissu wanateseka sana kwa ujio wake ukawa

Kwani ZITTO yupo ndani ya UKAWA kwa chama kipi???

ACT haimo katika UKAWA, wale wote ni Wabunge wa Upinzani, na pia ni Watanzania hivyo hatuna tabia ya kubaguana; labda muanze nyie CCM kubagua kwa misingi ya kisiasa.
 
Hiyo inaitwa KWA MASLAHI MAPANA YA TAIFA,hii picha imenifurahisha sana.
Natamani haya mambo yaishe,Zitto arudi kuwa kama yule wa zamani!
zitto ni yuleyule. tatizo lilikuwa ni madaraka tu. nashangaa hujui hata suala dogo kama hili. au na wewe ni walewale nyumbu?
 
Zitto Kabwe ndo symbol ya upinzani, yuko peke yake bungeni ila anawasomesha namba sisiemu na anawabeba ukawa wote mgongoni mwake!
Safi, Zitto Kabwe, na bado! Nilijua tu itafika siku watu watakula matapishi yao.
 
Mbowe ndio alimkata zitto kwenye ukawa sasa ndio anamuona anafaa. Wako wapi kina Sugu na professor J? Mizigo ya bungeni.
 
Back
Top Bottom