Hatimaye Zitto Kabwe akaa meza moja na UKAWA

Hatimaye Zitto Kabwe akaa meza moja na UKAWA

Sasa wa kusifiwa hapa ni Nani Kati ya Zito au UKAWA?Manake pamoja na tofauti zao za kisiasa,UKAWA
wamemuunga mkno Zito kwa hoja iliyotokewa na Zito kwa Kuwa Ina maslahi kwa wananchi.Ifike mahali watu tuweke maslahi ya wananchi mbele badala ya kikundi au mtu.Viva UKAWA.
 
Katika mazingira ya kusikitisha wale waliomwita msaliti katika chama wajikuta ghafla wakitoa pongezi kubwa kwake, kwa kuonyesha ushujaa. Zitto Kabwe kwa upande wake amekaliliwa akisema waliokuwa wabaya wake tayari amewasamehe.

Umetengeneza kichw cha habari cha kuvutia macho na akili za watu sana mkuu ila maelezo yako hayana maaha sana, yana maana butu sana kwa maana bado unadhani mkosaji wa jana hawezi kujisahihisha na kuwa mwema leo ama kesho mbele za wanaomzunguka. Naona unataka kujenga hoja kama ZZK hakuwahi kukosea na waliomkosea ni wale waliomwita msaliti. hii haina mantiki ha haiingi akilini hata kidogo kwa mwelewa na mfuatiliaji wa mambo hasa ua siasa za hii nchi. Kumbuka hakuna mkamilifu chini ya jua na elewa kua ALIKOSEA na sasa ni wakati wake wakujua namna ya kujirudisha na kuwa undi moja chini ya mchunga mmoja. Ni kweli alikosea na sasa anajua yaliyotokea na amerudi kundini na sasa ni kundi moja linalokwnda kuwa na nguvu sana. SASA WEWE UNATAKA AU ULIKUA UNATAKA ABAKI KIVYAKE KAMA KIFARANGA ALIYETENGEA NA KUKU???? hasha!!!! ZZK ni wetu sema tu alikua KIJANA na sasa amekua mtu mzima, ni mwenzetu na daima yuko puande wetu kwa kua ameonyesha kuwa nasi. Ameonyesha msimamo wako na ni mzuri na hatuna budi kama wapinzani wenzake kumuunga mkono kwa maana kama si yeye basi tungesema sisi. Big up sana ZZK kwa hili.
 
Sasa wa kusifiwa hapa ni Nani Kati ya Zito au UKAWA?Manake pamoja na tofauti zao za kisiasa,UKAWA
wamemuunga mkno Zito kwa hoja iliyotokewa na Zito kwa Kuwa Ina maslahi kwa wananchi.Ifike mahali watu tuweke maslahi ya wananchi mbele badala ya kikundi au mtu.Viva UKAWA.


Huyu mleta hii mada yaani utadhani ameagiza wa ccm, maana kwa jinsi alivyofikisha huu ujumbe ni dhahiri sana kua kuna mkono wa hawa jamaa nyuma yake ila inshalla hatafanikiwa, Kaeka kicha kuzuuuri ila maelezo hovyo kabisa. Nadhani anachotaka ni kujenga hoja ya kutugombanisha tu sisis Ukawa na huyu mwenzetu ZZK, hawezi na hataweza asilani. viva ukawa, viva zzk.
 
cwez kumfananisha mwokozi wetu na Mbowe bt nimekutolea mfano kama mwokozi wetu aliweza kukaa na watu wabaya itakuwa Mbowe Zitto kukaa na Mbowe akumpi clearance ya kuonekana c msaliti
Huo usaliti gani alioufanya hadi wakamfukuza??
 
Huo usaliti gani alioufanya hadi wakamfukuza??
MM1&MM2&MM3 hizo Ndo code names zao walizotumia kupanga mipango haramu kwa maana nyingine chadema ingekuwa ni serikali Leo Zitto angehukumiwa kwa kesi ya uhaini
 
Ungekuwa Unajua Maana Ya Siasa, Wala Usingepoteza Muda Wako!! Hakuna Adui Wa KUDUMU Na RAFIKI Wa KUDUMU!!!! MBONA Ni Wengi Mno Waliokuwa Mahasimu, Leo Wako Meza Mmoja Wakishirikiana!!!!!!
 
Katika mazingira ya kusikitisha wale waliomwita msaliti katika chama wajikuta ghafla wakitoa pongezi kubwa kwake, kwa kuonyesha ushujaa. Zitto Kabwe kwa upande wake amekaliliwa akisema waliokuwa wabaya wake tayari amewasamehe.
moto wa mabua huo.
 
zitto hajajifunza. urafiki na mbowe ni asubuhi tu ukipigiwa makofi kuliko yeye jioni amekutosa. cdm hizi sasa wanafanya siasa ya kurusha ngumi na marungu gizani ikikupata shauri lako. anajeruhiwa yeyote.
 
Kwenye Siasa hakuna adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu.

Zitto ili apate kung'aa ana wahitaji UKAWA.
Aibu! Mnafiki,Msaliti kaibua hoja nyie mimaji pwapwapwa. Mmeiva. Zitto ni habari ingine kabisa. Rejea hotuba ya kuliaga bunge! Go Zitto.
 
Doggy style tu... heshima ndani ya nyumba inarudi...!!!
 
Namuona ZITTO kama Augustino Mrema ajaye... atababuka na NGUVU YA UKAWA akicheza tu na unafiki wake, sbb Zitto mnafiki sana..UKAWA wote masoldier... hata mademu wa ukawa akina Halima, Bulaya, yule wa Tarime, wote wana karate... so ukicheza wanakugeuza jike..
 
Hivi alichokuwa anafanya Zitto hadi kufikia aitwe msaliti na ni ccm ni kipi? na alichokifanya sasa hadi kuonekana sio ccm wala msaliti tena ni kipi?



Ifike muda tukubali kuwa kuna kutofautiana mawazo,hili suala la kuitana wasaliti na majina mengine kwa sababu tu ya kutofautiana mitazamo sio sahihi.
 
zitto maji yapo shingoni.. kwenye hotuba ya pombe alijifanya mwenye busara.. leo kawa mwehu sawa na vijana wa ukawa
 
Back
Top Bottom