mhhhh mbowe ni mlezi kisiasa wa zitto???toka lini????
Tatizo MACCM hayataki kuweka hizo.tofauti pembeni, wanajifanya kiburi na jeuri MAJIPU MAKUBWA haya.Kwenye masuala yakitaifa tuweke pembeni tofouti zetu za kisiasa
Ccm wote sasa mnamaradhi ya ZiKaLackeys mnatabu sana,mkiona bwana yenu kamchukia mtu na nyinyi mnalazimika kumchukia hata kama hamjui hata chanzo cha ugomvi wao ili mumridhishe tu bwana yenu na ikitokea wamepatana mnaanza tena kujishebedua.
Hawa jamaa uwezekano wa ku-settle tofauti zao ni mkubwa sababu issue ilikuwa uenyekiti tu na lengo la kumpoteza kisiasa limeshindikana so running dogs jiandaeni tena kuanza kumuimbia mapambio.
Zitto angekuwa msaliti Mbowe asingempa mkono kamweLeo hata wakina diamond, Mr blue wanajiita simba so sishangai na ww ukimwita yuda nae ni simba so tuimbe kwa pamojaaaa simba yuda anaunguluuma @10
ata yesu alikaa na wakusanya ushuru, wakahaba ,waranguzi so sishangai kwa Mbowe kukaa na ZittoZitto angekuwa msaliti Mbowe asingempa mkono kamwe
ata yesu alikaa na wakusanya ushuru, wakahaba ,waranguzi so sishangai kwa Mbowe kukaa na Zitto
cwez kumfananisha mwokozi wetu na Mbowe bt nimekutolea mfano kama mwokozi wetu aliweza kukaa na watu wabaya itakuwa Mbowe Zitto kukaa na Mbowe akumpi clearance ya kuonekana c msalitiMnamfananisha Mbowe na Yesu dah Yesu afananishwi na wanasiasa wasiokuwa na msimamo
Mbowe 2008-2015 : Lowassa Fisadi
Mbowe july 2015 : Lowassa Mabadilikooo Mabadilikooo Lowassa (huku akizungisha mikono) na nyie mnazungusha mikono kama manyumbu