Hatimaye Zitto Kabwe akaa meza moja na UKAWA

Hivi ni kosa kushirikiana kwa lile lililo kweli na haki? Mbona tunaumba chuki miongoni mwa watu bila sababu?

Huu ni upeo wa chini sana katika kufikiri. Umaskini wa fikra ni janga kubwa kwa Taifa letu leo.
 
Namna ulivyoandika inatosha kutuonyesha kwamba kichwani ni mweupe sana na unapenda kuwaabudu watu wengine kwasababu mwenyewe unajijua ni mtupu,so stop judging the world around you using your own small world.
Uwezo wako wa kutafakari ni mdogo sana, umejitahidi kuandika lakini kwa bahati mbaya, umeandika pumba, jaribu tena,
 
Ukawa hawana vichwa.enzi za kina slaa,hamad rashid,john cheyo hakuna mtu kususa kitoto,sasa hivi kuna wazee wa shanga,kitu kidogo tu wanatoka kwenda kurekebisha shanga
You must be kidding, Cheyo is also among vichwaz?
 
Hivi ni kosa kushirikiana kwa lile lililo kweli na haki? Mbona tunaumba chuki miongoni mwa watu bila sababu?

Huu ni upeo wa chini sana katika kufikiri. Umaskini wa fikra ni janga kubwa kwa Taifa letu leo.
Tatizo ni uwezo ndio hamna, pale ukawa pale kuna wajenga hoja za vyuupi tu, huyu si ndio mlikua mnamuita msaliti, unapoamua kusimamia simamia jambo, sio kuruka ruka na kubadilisha misimamo kila mara, inaonekana hamjielewi, kama mnasema zito ni msaliti basi na iwe hivyo, kama sio msitupotezee muda wetu bure kwa siasa uchwara.
 
Ukawa hawana vichwa.enzi za kina slaa,hamad rashid,john cheyo hakuna mtu kususa kitoto,sasa hivi kuna wazee wa shanga,kitu kidogo tu wanatoka kwenda kurekebisha shanga
Hahaaaa we jamaa una akili sana
 
Bila lisu kua anaongea pale bungeni sijui nasema sijui nini kingewapata nyie maukawa, kelele nyingi kumbe hamna lolote...
Sasa upande wa CCM pamoja na uwingi wao kama NYUMBU lakini hawana hata huyo mmoja mwenye uwezo kama wa Tundu Lissu
 
Hapa umehitimisha kua Ukawa ni mtu mmoja Lisu, ndio maana hata yule mzee wa vyupi alikua anasomewa vifungu na lisu maana mnavyodhani kua bila lisu hakuna ukawa na ukawa ni lisu, mnahali mbaya sana, kwahiyo lisu mfano akapata mafua asije bungeni, siku hiyo tutegemee hoja za vyupi tu?
 
Katika kuonesha ni kwa namna gani Ukawa imekua bure kabisa, kwa kukosa watu wenye weledi na uwezo wa kujenga hoja.

Hivi majuzi wamekubali wenyewe kua zito alikua na mchango mkubwa kukijenga chadema, wamedhihirisha wenyewe ni kwa namna gani hawana uwezo wa kujenga hoja.

Sijui ni nani katika kambi yao angeweza kujenga hoja mara zote kama sio kudandia hoja ya zito.

Ni dhahiri kabisa, Muunganiko huu wa ukawa ungeleta janga kuu kwa taifa letu kama wangeshinda uchaguzi mkuu, tuna bahati sana hayo hayakutokea, tungejuta na tungekula majani kwa kuwapa nchi watu wasio na uwezo wa kusoma hata vifungu vya kanuni.
Awe Zito au mwingine yeyote yule anayetetea maslahi ya taifa hata mimi ningempongeza....
 
Hapa umehitimisha kua Ukawa ni mtu mmoja Lisu, ndio maana hata yule mzee wa vyupi alikua anasomewa vifungu na lisu maana mnavyodhani kua bila lisu hakuna ukawa na ukawa ni lisu, mnahali mbaya sana, kwahiyo lisu mfano akapata mafua asije bungeni, siku hiyo tutegemee hoja za vyupi tu?
Mkuu unajifhalilisha...
 
Katika kuonesha ni kwa namna gani Ukawa imekua bure kabisa, kwa kukosa watu wenye weledi na uwezo wa kujenga hoja.

Hivi majuzi wamekubali wenyewe kua zito alikua na mchango mkubwa kukijenga chadema, wamedhihirisha wenyewe ni kwa namna gani hawana uwezo wa kujenga hoja.

Sijui ni nani katika kambi yao angeweza kujenga hoja mara zote kama sio kudandia hoja ya zito.

Ni dhahiri kabisa, Muunganiko huu wa ukawa ungeleta janga kuu kwa taifa letu kama wangeshinda uchaguzi mkuu, tuna bahati sana hayo hayakutokea, tungejuta na tungekula majani kwa kuwapa nchi watu wasio na uwezo wa kusoma hata vifungu vya kanuni.
Kwa hiyo mkuu ulitaka zzk akileta hoja yenye manufaa kwa taifa basi ukawa wasiiunge mkono?.
 
Mwanzoni alibezwa kwamba asingefanya chochote bungeni kwa kuwa ni mbunge pekee wa chama chake, amedhihirisha kuwa waliombeza hawakuwa sahihi.
Asifanye chochote kwa kuwa kichwa chake kilibaki cjafema alafu kiwiliwili kikaenda ACT?.

ZZK ni yule yule forever
 
akuna wa kupinga zitto ni mtu pekee anaeweza kujenga hoja papo apo na ikakubalika sio tu kujua vifungu vya sheria tumemuona ata chenge alivopata kigugumiz sn kumpa muongozo
 
Namna ulivyoandika inatosha kutuonyesha kwamba kichwani ni mweupe sana na unapenda kuwaabudu watu wengine kwasababu mwenyewe unajijua ni mtupu,so stop judging the world around you using your own small world.
Mkuu kwani umeshindwa kuelewa anasumbuliwa na nini huyo? Ni uvutaji wa bange bila kuwa na uhakika wa lishe tuu.
 
Bila lisu kua anaongea pale bungeni sijui nasema sijui nini kingewapata nyie maukawa, kelele nyingi kumbe hamna lolote...
wanaongelea hoja za vyupi na shanga? ??!!!! kazi ipo. yule jamaa wa elimu ya hapa na pale asipewe nafasi ya kuongea. anaitia aibu ukawa
 
Sasa upande wa CCM pamoja na uwingi wao kama NYUMBU lakini hawana hata huyo mmoja mwenye uwezo kama wa Tundu Lissu
Acha wewe! Mbona wapo wengi tuu ambao ni vichwa na "tunavitegemea" sana? Wao wakisimama kuchangia huwa tunawashangilia sana. Mfano ni Livingstone Lusinde, Msukuma, Martha Mlata, Majimarefu, Kessy nk nk. Au unaonaje hapo mkuu?
Hiyo list ambayo nimekupa ni kwa uchache tuu, na hao ni mawaziri wetu walio kwenye waiting list. Mtu akivurunda tuu wanachukua nafasi.
 
ImageUploadedByJamiiForums1454233465.576790.jpg

Kuna watu wanataka kutuaminisha eti kuna ugomvi kati ya hawa watu lakini kumbe wanapiga kazi pamoja kumuua kenge
 
Back
Top Bottom