Mwenzio keshaona ACT imeelekea kibla iliyobaki anatafuta hoja za kumrudisha kwenye meli ya Ukawa.Zitto kweli anahitaji pongezi japo watu kama kina Mnyika na Lissu wanateseka sana kwa ujio wake ukawa
Mwenzio keshaona ACT imeelekea kibla iliyobaki anatafuta hoja za kumrudisha kwenye meli ya Ukawa.Zitto kweli anahitaji pongezi japo watu kama kina Mnyika na Lissu wanateseka sana kwa ujio wake ukawa
Umeongea point wakumbushe zito alisema kutoka bungeni sio ukomavu wa kisiasa naona nae ametoka ili kuunga nguvu ya haki sasa nani anae muitaji mwenzie zaid kwa hilo mi nimeona zito sasa ameamua kufanya busara za kizalendo kabs kubaki alikosea mwanzoWalichokifanya UKAWA dhidi ya hoja ya Zitto ni "Gentlemen Reaction" nawapongeza sana Ukawa.
Gentleman anafanya maauzi kwa kuunga mkono hoja yenye ukweli hatakama inaletwa na mtu asiyetoka kwenye kundi lake,
Gentleman ataunga mkono hoja ya ukweli hata kama mleta hoja aliwahi kwenda kinyume na hoja yako ya ukweli kabisa hapo awali.
Zitto aliwahi kwenda kinyume na msimamo wa UKAWA bungeni na kubaki bungeni tena msimamo wenye hoja ya kweli na nzito, ila hiyo sio sababu ya UKAWA kwenda kinyume na hoja ya kweli iliyoletwa na Zitto simply kwakuwa eti aliwahi kwenda kinyume na hoja za UKAWA mara kadhaa, huu ndiyo unaitwa uungwana.