Hatimaye yametimia walimu kucheka huu ndiyo waraka mpya. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatimaye yametimia walimu kucheka huu ndiyo waraka mpya.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Zeddicus Zu'l Zorander, Jun 22, 2013.

 1. Zeddicus Zu'l Zorander

  Zeddicus Zu'l Zorander JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2013
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 60
  Huu ndio waraka mpya,hauonekani vizuri kwa sababu nimetumia simu, ilikuwa ni kwenye ofisi za watu.

  Kwa ufupi wamerekebisha waraka wa 2002 ambao serikali imekiri kuwa ulikuwa na matatizo mengi, kwahiyo wametoa waraka mpya ambao madaraja ya walimu yatabadirika aliyekuwa TGTS C ataenda TGTS E, aliyekuwa TGTS D ataenda TGTS F, kwahiyo utaona wanarusha madaraja mawili .
  Pia umesema hakuna malimbikizo yatayolipwa kutokana na waraka huu..
  Pi walimu wa Sayansi wameongezewa vidato vitano kwenye madaraja yao.. yaani TGTS F5 kwa mwalimu wa sayansi mwenye degree anayeanza kitu kama 850,000/= au zaidi sina uzoefu sana na haya mambo ila wakongwe wanajua.
   

  Attached Files:

 2. Zeddicus Zu'l Zorander

  Zeddicus Zu'l Zorander JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2013
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 60
  Na hizi...
   

  Attached Files:

 3. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2013
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,384
  Likes Received: 9,311
  Trophy Points: 280
  Weka japo in summary
   
 4. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2013
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,107
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  ndugu zetu watapona sasa tusubiri
   
 5. M

  Msafwa wa swaya JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2013
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 426
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  WAPENDWA HAYA NI MAISHA YA WATU,NAOMBA ALIYEFANIKISHA KUUSOMA ATUPE Taarifa unahusu nn?
   
 6. mdeki

  mdeki JF-Expert Member

  #6
  Jun 22, 2013
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 3,302
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Jamani jukwaa la utani na joks si lipo

  "To know the enemy is half the victory"
   
 7. o

  option JF-Expert Member

  #7
  Jun 22, 2013
  Joined: Jan 15, 2013
  Messages: 1,606
  Likes Received: 623
  Trophy Points: 280
  kazi kwao sisi yetu macho
   
 8. o

  option JF-Expert Member

  #8
  Jun 22, 2013
  Joined: Jan 15, 2013
  Messages: 1,606
  Likes Received: 623
  Trophy Points: 280
  hii ni kimyakimya mzee kuwasahaulisha na kuwafunga midomo. na wAlivokuwa wasahaulifu watasahau yote yaliyopita. SWALI: HAYO MALIMBIKIZO YASHAOTA MBAWA?
   
 9. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #9
  Jun 22, 2013
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 14,804
  Likes Received: 2,836
  Trophy Points: 280
  Kwa mbali nimesoma ni ya mkoa wa Kilimanjaro siyo mkuu ama?

  Ila kama ungeweza hebu tuwekee mambo flani muhimu yaliyomo ili tuipate vyema
   
 10. Zeddicus Zu'l Zorander

  Zeddicus Zu'l Zorander JF-Expert Member

  #10
  Jun 22, 2013
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 60
  Si umeona waraka umesema hakutakuwa na habari za malimbikizo.......
   
 11. L

  Lyimo crisy Member

  #11
  Jun 22, 2013
  Joined: Jun 12, 2013
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona ha2elewi jamani! Wekeni bas mambo waz nyie mlioxma! Cm ze2 ni ndogo hazna uwezo huo
   
 12. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #12
  Jun 22, 2013
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,040
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  walimu wanashughulikiwa mambo yao mkoa wa Kilimanjaro Same Rombo Mwanga Hai na Moshi? huu ni waswasi wa kwanza kabisa juu ya huu waraka.

  Kwa namna nilivyoicheki japo kwa tabu maandishi madigo, ni kwamba waraka uliopendekezwa na kutumika tangu mwaka 2002 ulikuwa umekosewa na huu uliopendekezwa ndio sahihi. Maafisa wanaohusika wamehakikisha wanaelezea kwamba hakuna malipo ya mshahara uliopungua baada ya kubadilishwa hayo madaraja mapya yanayotakiwa yawasilishwe kwenye mamlaka zinahusika mapema 15/6/2013

  Hainabainisha mshahara huo mpya uanze lini. nilivyoelewa mimi.
   
 13. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #13
  Jun 22, 2013
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 14,804
  Likes Received: 2,836
  Trophy Points: 280
  Mkuu hapa nina vijana wanasumbua hebu saidia udadavue au weka hadharani kabisa watu waone wenyewe
   
 14. Eligi

  Eligi Senior Member

  #14
  Jun 22, 2013
  Joined: Mar 7, 2013
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hivi kweli?
   
 15. A

  Abelian JF-Expert Member

  #15
  Jun 22, 2013
  Joined: Mar 8, 2013
  Messages: 205
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  shahidi ni zigo la july mengine mbwembwe tu
   
 16. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #16
  Jun 22, 2013
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,958
  Likes Received: 727
  Trophy Points: 280
  Huu waraka ni watanzania wote ila haujasema unaanza mi hadi nione salary slip ndo ntaamini
   
 17. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #17
  Jun 22, 2013
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,051
  Likes Received: 2,746
  Trophy Points: 280
  Mkuu uko sawa


  Mchango wa Mwenge tutaweza kulipa sasa.
   
 18. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #18
  Jun 22, 2013
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 14,804
  Likes Received: 2,836
  Trophy Points: 280
  Nyie mnaosoma hebu semeni basi kunani humo ndani
   
 19. Zeddicus Zu'l Zorander

  Zeddicus Zu'l Zorander JF-Expert Member

  #19
  Jun 22, 2013
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 60
  Kwa ufupi wamerekebisha waraka wa 2002 ambao serikali imekiri kuwa ulikuwa na matatizo mengi, kwahiyo wametoa waraka mpya ambao madaraja ya walimu yatabadirika aliyekuwa TGTS C ataenda TGTS E, aliyekuwa TGTS D ataenda TGTS F, kwahiyo utaona wanarusha madaraja mawili .
  Pia umesema hakuna malimbikizo yatayolipwa kutokana na waraka huu..
  Pi walimu wa Sayansi wameongezewa vidato vitano kwenye madaraja yao.. yaani TGTS F5 kwa mwalimu wa sayansi mwenye degree anayeanza kitu kama 850,000/= au zaidi sina uzoefu sana na haya mambo ila wakongwe wanajua.
   
 20. MBIIRWA

  MBIIRWA JF-Expert Member

  #20
  Jun 22, 2013
  Joined: May 24, 2013
  Messages: 2,104
  Likes Received: 3,936
  Trophy Points: 280
  Porojo tu hapo!
   
Loading...