Hatimaye Waziri Kapuya Afunguka Mwenyewe Live!!

Hatimaye Waziri Kapuya Afunguka Mwenyewe Live!!

Hivi kuna tofauti gani kati ya Tanzania Daima na IJUMAA WIKIENDA?

TANZANIA DAIMA ni gazeti la kila siku la habari za siasa, uchumi na jamii...IJUMAA Wikienda ni gazeti dada la UHURU, wana-share waandishi wa habari.
 
TZ yani unataka kutuaminisha kwamba huyu mwanafunzi ni tapeli na si mtoto bali mama.!! Basi sawa, Prof. Kapuya kaombwa msaada wa school fee ya Sh. 3,000,000/=, bila hata ya kufatilia au kuomba fee structure au kuwasiliana na chuo kutafuta ukweli akatoa 2,300,000 na kumalizia iliyobaki 7,000,000/=Huu ni upumbavu na ndo maana nchi ni masikini. Ni bora uendelee kubaki uko kijijini kwenu.
 
Niliwahi kusema hapa kuwa huyu William jumanne Malecela ni boya kabisa. Kinachomfanya apate hata power reply kwenye post zake ni sir name yake tu. We mtu boya kama hili eti lilitaka kuwa mbunge wa EAC!
Kapuya kabaka ni kweli, huitaji kuwa na degree kulitambua hili. Taarifa zinasema baada ya kumbaka huyu binti kwa mara ya pili, na binti kuleta fujo pale biashara complex, walienda obey polisi walipofikia makubaliao ya kumpa gharama za uendeshaji wa masomo na maisha pia.
Hivi we boya ni kwa nini unamtetea huyu mbakaji. Kama kweli wewe ni mtetezi wa wabakaji nenda kafanye hivyo kwa babu Seya na mbakaji aliyeuza magazeti miaka ile ya 80, fundi cherehami Maumba. Boya we!
 
na ile namba ya simu iliyotumika kumtisha huyo dent under 16 ni yake au? mbona habari yenyewe ya utetezi imekaa kiudaku udaku? hivi ni nani anayeweza kuliamini gazeti la udaku ijumaa wikenda? hiyo habari ni uharo tupu hakuna cha kujadili hapo.
 
Mods hapa kuna mawili,mumeamua kuuacha huu uzi ili huyu mpuuzi ajiumbue au mmeamua kudhalilisha jukwaa letu tukufu kwa habari za magazeti ya udaku.

cc Moderator
 
Last edited by a moderator:
Habari kaka William, mimi naomba kujua vitu vifuatavyo kutoka kwako

1. Una umru gani
2. Taaluma yako ni nini?
3. Umesomea wapi?
4. Una familia?
5. Iko wapi?
6. Sasa hivi unaishi wapi na unajishughukisha na nini?
7. Kabla ya kurudi TZ ulikuwa unaishi wapi na ulikuwa ukijishughulisha na nini?
8. Na kwanini uliondoka huko?
9. Mafanikio yako binafsi nini mpaka sasa?

Asante natumai utajibu kaka

Huna haja ya kuhangaika na maswali hayo, the dude is but a big fat baby!!!!!
 
TANZANIA DAIMA ni gazeti la kila siku la habari za siasa, uchumi na jamii...IJUMAA Wikienda ni gazeti dada la UHURU, wana-share waandishi wa habari.

Bora UHURU watanzania wanaliamini miaka nenda rudi, huwezi fananisha na hili gazeti la udaku ulioshindikana!
 
Global ni Kiboko.....

Kapuya4.jpg


KHAA! MHE. KAPUYA - Global Publishers

tazama huyu mzinzi alivyozamisha mavidole yake kwenye pelvis ya mtoto wa watu halafu kuna baadhi ya mijitu inajitoa fahamu na kumtetea! hv wewe mtoa mada si ulisema kwamba kapuya alikuwa na mahusiano na huyo binti? umeona sasa alivyokuruka? aibu na iwe kwako!
 
gazeti linalonukuliwa ni Ijumaa! Le mutuz huwezi kuifanya serious source.Be serious bana. Unanukuu habari iliyoandikwa na gazeti la Ijumaa? Huo ni udaku tu.

Hata tanzania daima nalo ni gazeti la udaku pia
 
kapuya ni mzinzi mkubwa, ameharibu sana wake za watu tangu alipokuwa waziri wa elimu. hakuna cha kujitetea wala nini, sheria lazima ichukue mkondo wake kama vile ilivyokuwa kwa kina babu seya na nguza.
 
Si bure umezaa na kapuya ndo maana unaogopa akienda jela watoto watateseka. Inaonekana willy usingizi hupati ka ajili ya kapuya ee?
 
- Mkuu chambua hoja zake kwanza ndio kazi ya great thinkers sio kutafuatana uchawi, chambua hoja zake kwanza!1

LE Mutuz

wee bro sikuelewagi kbs. wkt nikisoma unayoyaandika akilini napataga picha ya sauti yako kuwa niya kipashukuna sana. Nini faida ya mradi huu ulioanzisha waa kumtetea "kapwaya"
WA TZ TUPO ZAID YA MIL 45, WHY WEWE TU NDIO UMTETEE HUYO NDUGU?? NN KIMEJIFICHA NYUMA YA PAZIA LAKO NA "KAPWAYA"??
 
Le Mutuz Big show Le baharia @ DSM,ulipata ujumbe wa Uhuru1 kuhusu tuhuma za kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja? Umesoma sredi inayokutuhumu kuuza mabebi hapa town? Umeshupalia kumtetea mbakaji mbona wewe haujibu hizo kashafa? Au ni kweli wewe Mchicha Mwiba?
 
Last edited by a moderator:
Katika hii thread ni vitu viwili muhimu tu nilivyoambulia.

1. Edward Lowassa ana dhamira na nia ya kugombea Urais mwaka 2015, halafu jambo la kushangaza tayari inaonesha Kapuya & co washamtawaza Bw. Ngoyai kama Rais mtarajiwa hata kabla ya uchaguzi.

2. Kapuya & co ni watu wanaoweza kutapeliwa na wakawa wanafahamu taarifa zote muhimu za matapeli wao lakini hawachukui hatua stahiki kwa mujibu wa sheria.
 
jaman nakubaliana na mdau mmoja humu jf. alishawai kusema kuwa, ili nchi yetu iendelee inabidi tuwe na rais ambaye hana makundi, ambaye ataweza kukemea ufisad bila woga pamoja na kulinda mariasir zetu, na mgombea huyo katu asitoke ccm. sasa leo hii mv kama lowasa anatumia mapesa mashwaiba wake akipata madaraka kaz kubwa hapa kwanza ni kulipa fadhira, pili kuweka jamaa zake kila idara nyeti, hapo tutegemee suala la uwajibikaj halitakuwepo, ufisad utakuwa wa kutisha zaidi, wiz wa rasilimali za uma utakuwa wa kutisha sana, watoto wakina kapuya wa madawa ya kulevya wataongezeka na hata bila ya kuchukuliwa hatua. tunamtaka rais asiye na makundi mwenye uwezo wa kukemea yote hayo hata bila uwoga
 
Back
Top Bottom