William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
- Thread starter
- #181
Tunachojaribu kukuonyesha ni kuwa huwezi kupumbuza kila mtu.
Majibu ya profesa yaana maana kwako kwetu sisi ni pumba.
Kajibu kama mtu wa mtaani na kuonyesha wazi kuwa anamfahamu binti, alimpa pesa, alikutana naye, hajakana namba ya simu. Profesa anapokwenda kumshitaki binti na si gazeti lililomwandikia ni kiwango duni cha kufikiri.
Profesa hajakana binti kwenda bungeni au polisi.
Bunge halijakataa binti kupeleka madai. Kova kasema hayo ni mambo 'BINAFSI''.
Halafu leo kuna mtu anadhani anaweza kuupumbuza ulimwengu kwa hoja nyanya na za kitoto namna hiyo.
Profesa aseitudanganye kuwa kuna watu wanamvurugia malengo, ajitokezo ajibu hoja kwa mantiki si kubabisha.
Le Mutu utetezi wako hauna maana, mashiko wala heshima. Wewe kamuombe radhi kwa sms au simu.
Sisi tunasema profesa na waziri ni kituko na kichekesho kwa jamii. Shame.
Kwanza kukutwa na tuhuma hizi ni kashfa kabla hatujafunua ya chumbani. Too low, shame on him shame on you.
- Eti unajaribu nani huku JF kama una ushahidi si umsaidie binti aende mahakamni au polisi? Halafu unasema sisi wewe na nani hasa mkuu sana? ha1 ha! ha!
Le Mutuz