palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,463
ukijaribu kumsafisha huyu mzee utaishia kuchafuka mwenyewe zaidi.
Sfa nambari moja ya kiongozi wa Ccm ni kuwa muongo, pili kuwa mwizi, tatu, uzinzi, zote hizo zimethibitishwa na Kapuya vident,- Mkuu chambua hoja zake kwanza ndio kazi ya great thinkers sio kutafuatana uchawi, chambua hoja zake kwanza!1
LE Mutuz
Kama ni kweli hili ni fundisho wanaume wawe waaminifu kwa ndoa zao. Hapa inaonekana mheshimiwa alilala na binti ila anadai si mtoto mdogo kama binti anavyodai!!! Makubwa haya!!!!
Hivi kuna tofauti gani kati ya Tanzania Daima na IJUMAA WIKIENDA?W. J. Malecela
Yani wewe jamaa una matatizo ya akili sana, hivi kweli unaweza ukatuwekea gazeti la Ijumaa wikienda watu wenye IQ kubwa hapa JF? Tangu jana umekuwa ukitumia nguvu kubwa sana kumtetea huyu mwalifu mwenzako, nadhani ni kwasababu na wewe tabia zako ni kama zake. Wewe unafanya ngono na vitoto vidogo sana tunafahamu, naona sasa umeanza kumtetea jamaa yako. Hakika wewe ni majanga.
thats what we call insanity.
Hahahaha
Kapuy mimi huyo binti simjui-source waraka wake.
Kapuya huyo ni mama mtu mzima na ana mtoto-source gpl
Kapuya,huyo alikuwa girlfriend wangu-source lemutuz
mkuu wj malecela, naona uko kila kona kila dakika kila mahali vehemently kumtetea huyu kapuya. Mna uhusiano gani?
You seem to have suddenly became a staunch ally/supporter of mheshimiwa kapuya.
I'm just curious.
Kumsafisha huyu mzee inahitaji uwe na uso wa mbuzi,.