Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 126,599
- 241,425
Tulipokuwa tunapiga kelele majukwaani , kwamba hiki chama hakistahili kuongezewa muda wa kuendelea kutawala nchi hii , maana kimechoka na hakina uwezo wala mbinu mpya , kuna waliotubeza sana na kutuona kama watu wenye tamaa tu ya madaraka .
Lakini sasa ni dhahiri kwamba wameshindwa kabisa kuboresha maisha ya mwananchi , zimebaki ngonjera na mikakati isiyo na matokeo yoyote.
Huduma zote za nchi hii zimedorora , maofisi sasa yamekuwa kama kambi za Mafunzo ya JKT kwa wahitimu wa kidato cha 6 , hali ni mbaya mno !
Nchi nzima watu wanajuta na wengine wanatupongeza kwa tulichokisimamia , lakini ndio hivyo tena .........
MAJUTO NI MJUKUU .