Hatimaye Watanzania wajutia uwepo wa CCM madarakani

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,344
217,383
Tulipokuwa tunapiga kelele majukwaani , kwamba hiki chama hakistahili kuongezewa muda wa kuendelea kutawala nchi hii , maana kimechoka na hakina uwezo wala mbinu mpya , kuna waliotubeza sana na kutuona kama watu wenye tamaa tu ya madaraka .

Lakini sasa ni dhahiri kwamba wameshindwa kabisa kuboresha maisha ya mwananchi , zimebaki ngonjera na mikakati isiyo na matokeo yoyote.

Huduma zote za nchi hii zimedorora , maofisi sasa yamekuwa kama kambi za Mafunzo ya JKT kwa wahitimu wa kidato cha 6 , hali ni mbaya mno !

Nchi nzima watu wanajuta na wengine wanatupongeza kwa tulichokisimamia , lakini ndio hivyo tena .........

MAJUTO NI MJUKUU .
 
Unataka maendeleo ya kweli kutokana na ilani ya chadema au unataka push up ?
Mkuu bnafsi ni mwanachama hai wa chadema toka 1995 lakini huwezi kunishawishi kwa hoja za kishabiki na unafiki juu ya Lowasa. Dr. Slaa was the best 2015.
7f9793fcd35d1dcecfae3e6a287cf5ec.jpg

Kws upuuzi huu mwaka 2020 nitachoma kadi yangu ya chama kama Lowasa atqgombea kupitia chadema.
 
Sasa EDO angebadilisha nini na hali kalelewa humo humo CCM? Kwani CHADEMA au niseme UKAWA kwa ujumla haina watu wenye sifa za kugombea nafasi hiyo mfano akina Safari, Baregu na wengineo ambao nina hakika wapo japo hawana majina makubwa!
 
Tulipokuwa tunapiga kelele majukwaani , kwamba hiki chama hakistahili kuongezewa muda wa kuendelea kutawala nchi hii , maana kimechoka na hakina uwezo wala mbinu mpya , kuna waliotubeza sana na kutuona kama watu wenye tamaa tu ya madaraka .

Lakini sasa ni dhahiri kwamba wameshindwa kabisa kuboresha maisha ya mwananchi , zimebaki ngonjera na mikakati isiyo na matokeo yoyote.

Huduma zote za nchi hii zimedorora , maofisi sasa yamekuwa kama kambi za Mafunzo ya JKT kwa wahitimu wa kidato cha 6 , hali ni mbaya mno !

Nchi nzima watu wanajuta na wengine wanatupongeza kwa tulichokisimamia , lakini ndio hivyo tena .........

MAJUTO NI MJUKUU .

Mmoja wa Wawakilishi wakubwa wa Watanzania huyu hapa anaitwa W.Lwakatare Mb. chadema, msikilize anayepi ya kusema!
 
Hakika magu anaenda kufeli mbaya kama hamumini subirini muone jama haelewi ufanyeje na kazi Alisha pewa
 
Kwa wapinzani dizaini ya mbowe,lema, ,lissu,mnyika,mdee,msigwa,lowassa etc bora muongozwe na ngedere tu.Sijaona nchi yenye wapinzani wajinga wasioeleweka kama hii,hawajui nini wanasimamia,bora liende tu.Acha JPM afanye kazi
 
Sasa EDO angebadilisha nini na hali kalelewa humo humo CCM? Kwani CHADEMA au niseme UKAWA kwa ujumla haina watu wenye sifa za kugombea nafasi hiyo mfano akina Safari, Baregu na wengineo ambao nina hakika wapo japo hawana majina makubwa!
Ulikuwa ni ujinga wa kiwango wa PhD kutuletea EDo ili hali kulikuwepo na watu mahili ba wenye majina makubwa tu kipindi hicho. Iko wapi nguvu ya chadema kukemea ufisadi? Tunahuburi democrasia ili hali ndani ya chama chetu tunafanya ujinga ujinga(refer uchaguzi wa kanda Nyasa). Mbowe kapoteza credibility ya kuongoza chadema. Chadema siyo ya baba yake. Chadema ni ya watanzania aache democrasia ifanye kazi yake.
 
we mleta mada unavyodhani watanzania walichagua nani? au unataka kufananisha kazi ya luvuba na jecha na kazi watanzania?
 
Miafrika aliyeturoga alifia baharini

Watanzania walivyo waajabu 2020 wakipewa pombe na sukari sishangai wataichagua ccm watasahau yote.
 
mimi mtanzania na walaa sijuitiiiii kabisa, bora huyo kuliko white hair Lowasa..., na walaa sijuti kura yangu nimempa na tuta nyoka naendele kunyoshaaaa mpaka poh. mlikua kwenye right truck ila kuja kumpa mamviiii mlichemshaa.
Sure. Kosa kubwa ni kumpa mamvi. Wametufanya watanzania kuwa mazoba wa kugeuzwa kama chapati. Nasema hivi wenzangu mtageuzwa kadri ya matakwa ya mwenyekiti na mtakapopata akili ya kuhoji itakuwa too late. Mbowe is now boring. He longer fits to what he was. Vijana ni taifa la kesho lkn BAHATI mbaya sana kils kitu tunasema ndio. Niwe muwazi kura yangu 2015 ilikuwa hivi:
Rais-Hashim Rungwe
MBUNGE: Chadema
Diwani: Chadema.
Siwezi kuchagus mtu ambaye Siku zote viongozi wetu walituhubiria kuwa ni fisadi. Mtu ambaye walimosoa kwa nguvu zote. Then 2015 unaniletea Lowasa, wajinga ndio walimpigia kura. Kama 2020 atakuwa EDO tena nitampigia mtu yeyote mwenye uelekeo ila sio ccm.
 
Back
Top Bottom