Hatimaye Waraka umemtoa pangoni “mwenyewe”!

Kwani wale waabudia masanamu ni kina nani?
 
Wazanzibar walitaka nchi yao mkasema wakipewa waarabu watarudi zanzibar na itakua ya kiislam, So tumeona tuwaletee waarabu huko bara
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3526][emoji3526][emoji6][emoji30][emoji30]
 
Hata kama mnamchukia kikwete kupita kiasi lakini mtendeeni haki kwa kusema ukweki ndani ya chuki yenu; hivi kweli ameongelea suala la dp-world?!!!!!!!!! Tuwe na aibu basi hata kidogo.
 
Naungana na JK dhidi ya wapinzani na wasioitakia mema Tz

Naunga mkono DPW
 
Nchi hii watu wamechoka kuwa wasindiKizJi kikwete amesain mikataba mingi tu ikiwemo ya gesi ,niambie ni upi huo umeshaakuwa na faida kwetu ,asituogopesha apitie hivi
 
Unapolazimisha baba yako awe baba wa wengine!
 
Ajabu no kuwa anayesema wasichanganye dini na siasa yeye yupo kwenye mimbari ya dini akifanya siasa ..Wonders shall never end in Tanzania
 
Ukiacha unafiki, utaheshimika sana!
 
Hatimae katoka pangolin. Amekwama, ameyumba. Anatumia jukwaa la dini kama mwanasiasa kupinga siasa kwenye dini
 
Katika siku JK ameyakanyaga ni leo. Anatumia mimbari ya Wasabato kuwakabili Wakatoliki halafu anakemea kuchanganya dini na siasa !! Aliyemshauri kamuingiza chaka nene sana.
 
Nyie watu mnajitia ujinga sana. Eti bomb la nyuklia?

Kama ni mgeni kwa siasa za Tanzania basi karibu Tanzania.

Makubaliano ya Bandari yanaendelea na hakuna kitu mtu anaweza fanya. Mark this post
Usiwaite watu ni wajinga kwa vile wameamua kuukataa ubatili wenu,koma kabisa.
 
Suala la IGA ya DPW ni masharti maovu ya mkataba ndo watanganyika wanayakataa kupelekea taasisi na asasi za kiraia na kidini kupiga kelele kuondolewa na kufutwa kwa mkataba huo!
It is very simple! Issue ni mkataba mbovu sasa udini unatoka wapi. natamani Public figures wangelijitokeza wakamjibu. Ukiona hata Zito amenyamaza as if hakuna kinachoendele, ujue hawa dini inawafanya wajinga!
 
Tumia akili acha kutumia makalio kiongozi mkubwa anaowajibu wakutumia uzowefu wake katika kushauri viashiria viovu hivi mikataba mingi mibovu hawa tec walikuwa wapi?kunamikataba mibovu mingi mpaka wa kuyapa makanisa pesa yapo tu viongozi wengi wakanisa katika kubeba pesa kwenye viroba wapo alafu leowanajifanya wanahuruma nasisi?kikubwa hapa hawa tec wanaangalia maslahi yao
 
TEC ni Baraza langu naliheshimu sana lakini naona limejaa unafiki mkubwa na uzandiki.


Sasa Tusubirie waraka wa BAKWATA na Kisha taasisi zingine za kidini!!!!

TEC acheni unafiki, acheni kuivuruga nchi, acheni kujiingiza kwenye siasa mnailigawa taifa letu.
Kumbukeni nchi ikichafuka hakuna atakaye pona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…