Hatimaye Waraka umemtoa pangoni “mwenyewe”!

Kikwete angetafuta jukwaa la kisiasa ayaseme hayo ya kuchanganya dini na siasa. Ingeleta maana zaidi.

Kitendo cha kwenda leo kanisani ambapo baadhi wana jambo lao,... kuwashauri wasichanganye dini na siasa wakati yeye kuchanganya siasa na dini hakuanza leo ni unafiki uliopitiliza.
 
watatoka wote mkuu
 
Nyie watu mnajitia ujinga sana. Eti bomb la nyuklia?

Kama ni mgeni kwa siasa za Tanzania basi karibu Tanzania.

Makubaliano ya Bandari yanaendelea na hakuna kitu mtu anaweza fanya. Mark this post
 
Sawa mwambie TEC hawarudi nyuma waraka huo utasoma wiki 6 bila kupoa tukutane kesho Arusha
Waambie wausome miaka 5 mfululizo. Mkataba wa Bandari unaendelea na hakuna kitu wanaweza fanya
 
Tena waape kwa ilani za chama, nimeandika kodogo ila imeongea mengi......
 
Jk mnafiki sana. Watanzania wameamka
 
S
Sahihi dini na siasa havitengani

Watanzania tunapaswa tudeal na la Dp world Udini ni vita mbaya na tukiendeleza hili litaiharibu nchi kabisa , katika sehemu amani inaweza kutoweka kwa haraka ni maswala ya mgogoro wa kiimani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…