kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 6,122
- 15,689
Vyuma vimelainika sio
DuuuhKatika habari zote mlizoleta hapa CCM hii ndio ya kweli
Hongera sanaHili silipingi mkuu, Jana huduma ya mikopo ya mgodi ya M pesa imenikopesha laki 7 jambo ambalo ni nadra sana.
Hizo ni takwimu za kwenye makaratasiRais Samia ameongeza mzunguko wa fedha(M3) mara tatu, kutoka 5.7% mwaka 2020 sawa na TZS 30trilioni mpaka 14.6% sawa na TZS 54trilioni.
View attachment 3392320
Hii imesaidia kurudisha pesa mitaani na hivyo Kulegeza vyuma vilivyokaza wakati wa COVID 19.
Watanzania OCT Tunatik ✅
Mkuu Kuna uwezekano imebidi pesa iingie mtaani kwa njia za panya.Hongera sana
TunatikiRais Samia ameongeza mzunguko wa fedha(M3) mara tatu, kutoka 5.7% mwaka 2020 sawa na TZS 30trilioni mpaka 14.6% sawa na TZS 54trilioni.
View attachment 3392320
Hii imesaidia kurudisha pesa mitaani na hivyo Kulegeza vyuma vilivyokaza wakati wa COVID 19.
Watanzania OCT Tunatik ✅
TunatikiMzunguko wa fedha umeongezeka sana awamu hii kwa mafisadi!.
Kwa wanyonge haujawafikia bado.
Uchawi upo na wewe ni mchawi vilevile,wazabuni wanadai madeni ya ndani katika taasisi huyo bibi halipi,bajeti ina deficit katika maeneo kibao na madini hatujui yanapunguza lini mzigo wa mkopo tuliopewa na bibi muuza chai ya iriki.Katika habari zote mlizoleta hapa CCM hii ndio ya kweli
Asante sanaKatika habari zote mlizoleta hapa CCM hii ndio ya kweli
Mkuu chawaKwa hakika Rais Samia ni Zawadi kwetu watanzania tunayopaswa kuitunza kwa wivu mkubwa sana
Rais Samia ameongeza mzunguko wa fedha(M3) mara tatu, kutoka 5.7% mwaka 2020 sawa na TZS 30trilioni mpaka 14.6% sawa na TZS 54trilioni.
View attachment 3392320
Hii imesaidia kurudisha pesa mitaani na hivyo Kulegeza vyuma vilivyokaza wakati wa COVID 19.
Watanzania OCT Tunatik ✅
...uuummbwa weweRais Samia ameongeza mzunguko wa fedha(M3) mara tatu, kutoka 5.7% mwaka 2020 sawa na TZS 30trilioni mpaka 14.6% sawa na TZS 54trilioni.
View attachment 3392320
Hii imesaidia kurudisha pesa mitaani na hivyo Kulegeza vyuma vilivyokaza wakati wa COVID 19.
Watanzania OCT Tunatik ✅
Mimi siyo chawaMkuu chawa
Rais Samia ameongeza mzunguko wa fedha(M3) mara tatu, kutoka 5.7% mwaka 2020 sawa na TZS 30trilioni mpaka 14.6% sawa na TZS 54trilioni.
View attachment 3392320
Hii imesaidia kurudisha pesa mitaani na hivyo Kulegeza vyuma vilivyokaza wakati wa COVID 19.
Watanzania OCT Tunatik ✅
NimekuelewaMimi siyo chawa