hip hop uchwara
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 5,227
- 3,145
Asee
DUUUUBora nikasome uzi wa kula tunda kimasihara kuliko huu uzi
MLIKUBALINA NA NANI MKUUSi tulikubaliana shillingi inatudanganya, tutajie kwa dolar tuone uhalsia
mafisadi wepi?izo fedha ziko kwa mafisadi wanao piga mkwanja hazipo kwetu huku wanyonge
kama tu mnasema mnaendeleo kuliko nchi za ulaya mtashindwa sema hela ziko nyingi mtaani
kama tu mnasema deni ni kubwa likitajwa kwa shilingi ila ni dogo likitajwa kwa dolla basi semeni pia mzunguko wa hela kwa dola ili uwe mdogo
wa ccm na machawa waomafisadi wepi?
Hv hukuwahi soma hesabu nn?,kuna mzunguko Gani wa fedha kwenye fedha isiyo na thamani huoni kwamba huo ni mzunguko wa vichaa.Rais Samia ameongeza mzunguko wa fedha(M3) mara tatu, kutoka 5.7% mwaka 2020 sawa na TZS 30trilioni mpaka 14.6% sawa na TZS 54trilioni.
View attachment 3392320
Hii imesaidia kurudisha pesa mitaani na hivyo Kulegeza vyuma vilivyokaza wakati wa COVID 19.
Watanzania OCT Tunatik ✅
Ww unasema tu na kubwabwaja tu ila ukweli unaujua vzr sana,kwamba CCM HAITAKIWA na wakiweka TUME HURU KABISA kinyume na hii ya MCHONGO iliyobadilishwa jina tu,nakuhakikishia uchaguzi ukianza saa kumi na mbili asubuhi kufikia saa nne asubuhi CCM haitawali tena nchi hii,najua ww ni chawa na hauna ushawishi wowote na hata nikikwambia uwaambie CCM wabadili Sheria za uchaguzi SAUTI yako inaishia chumbani mwako ulimolala.Kuwa tu mkweli hata kama Reforms zitafanyika hamuwezi kushinda nyie
Wapi CCM haitakuwi?Ww unasema tu na kubwabwaja tu ila ukweli unaujua vzr sana,kwamba CCM HAITAKIWA na wakiweka TUME HURU KABISA kinyume na hii ya MCHONGO iliyobadilishwa jina tu,nakuhakikishia uchaguzi ukianza saa kumi na mbili asubuhi kufikia saa nne asubuhi CCM haitawali tena nchi hii,najua ww ni chawa na hauna ushawishi wowote na hata nikikwambia uwaambie CCM wabadili Sheria za uchaguzi SAUTI yako inaishia chumbani mwako ulimolala.
mgao upi?Naomba utaratibu na vituo vya mgao wa wa matrilioni mama ameongeza kwenye mzunguko. Distribution mechanism muhimu