Hatimaye vyuma Vyalegea

Hatimaye vyuma Vyalegea

Huo mzunguko wahi hizo 54 Trioni unawahusu watu wangapi among 65 miliontuliopo TZ? Utakuta circle ni ndogo sana so impact yake haiwezi kuonekana in a positive way, badala yake huwenda inasaidia kwenye kuongeza pengo kati ya walionacho na wasionacho.
Wale wote wanaopambana mkuu
 
Wataalamu watusaidie hapa. Je, tutegemee kushuka kwa riba za mikopo kwenye banks?
 
Hata watoto wa darasa la nne watakuwa wanasema uko CCM kumejaa mambumbumbu yakutupa.

Kama 5.7% ni tsh 30 trillion

14.6% itakuwa tsh 54 trillion kweli? No.

14.6% ingekuwa tsh 76.8 trillion, hesabu za primary (cross multiplication).

Na hizo ni flyers ambazo mnasambaza nchi wakati hesabu za primary tu shida.

Sasa ndio utaweza elezea kuna hesabu gani za economics za kijinga hivyo. Not sure unajua tofauti ya velocity of money, GDP, PPP or any other circulation of money theory.

Hakuna hesabu za ujinga huo kwenye economics, ni ujinga tu mnatoa vichwani.

Lakini huko CCM kuna watu wa hovyo, na huyo Makalla mkurugenzi wa habari supposedly ni accountant, hakuna hayo mashudu ya kwenye hesabu tu,
 
Idadi ya watu imebasilika
 
tupige kazi kiongozi wangu
Ni kweli kabisa . Tuendelee kupiga kazi. Nashukuru watanzania huku mitaani wanaendelea kumuunga mkono Mheshimiwa Rais,kutoka na kazi kubwa alizozifanya ndani ya muda mfupi wa uongozi wake ambazo zimegusa Maisha ya watanzania na kuleta matumaini kwa kila mtu.
 
sawa sawa
 
Ndiyo hizo hela mlizonunulia baiskeli na pikipiki za makada wenu, pamoja na kuweka mabango yenu nchi nzima, au! Maana huku mtaani hakuna kitu mpaka muda huu naandika hapa.
CHAMA MBONA KINA RUZUKU KAMA NYIE CHADEMA
 
Mimi ni mwanachama wa ccm ya enzi za Nyerere ya jembe na nyundo. Na kadi yangu ya chama bado ipo. Sema tu shida iliyopo kwa sasa ni hii ya kutowaunga mkono wahalifu na wahuni kujimilikisha chama.
 
Back
Top Bottom