Luvanga1
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 2,025
- 1,710
AaaahaaaSasa jichanganye uvae.
Hiiiiiiiiiiiii..... (jiwe laughing).
AaaahaaaSasa jichanganye uvae.
Hiiiiiiiiiiiii..... (jiwe laughing).
Kweli mkuu, yule Kanye hata simwelewi, yaani mtu atengenezee yeboyebo/plastic slip-on's aziite Yeezy alafu watu kibao wananunua ghali ati sababu ni Kanye. 😂 😂 😂 😂 Nilipiga hesabu ati 10k Kenyan money niitolee yebo mm, wakati mtaani zipo slip-on kali bei chee! 🤣 Wazungu vichwa vibovuIshu ya viatu tumuachie kanye west. Yule mwamba hata atoe viatu vya vijiti watu wananunua tu.