greybakuza
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 897
- 1,271
Habari njema kabisa hii kwetu wanunuzi wa online.
Bora wametuondolea usumbufu wa PayPal.Bila shaka, inakubali mkuu. Kupokea malipo bado ni changamoto kwa hapa Tanzania
Fursa hiyo, hio ni nafasi ya kuwa bilioneanatamani atokee Jack Ma wetu atutengenezee Alipay yetu
Nimeanza na SKRILL
wazawa hatupewi vipaumbele, atatokea mtu baki na hiyo idea atapewa mkopo na mabenki yetu na atafanikisha hilo, wakati sisi tukitoa idea hizo tunaonekana wehu.Fursa hiyo, hio ni nafasi ya kuwa bilionea
sijaona mtu akilielezea hili suala....ina maana ni kwako tu mkuu ndo inagoma?Nimejaribu kununua kupitia Master card ya voda na haya ndio majibu baada ya masaa kadhaa kupita.
Thank you for shopping on AliExpress !
We are sorry to inform you that we have to cancel your order for security reasons. To make sure your transaction is secure, please provide us with documentation by clicking My Appeal for further verification.
When we receive your documents, we will verify them within 3 business days. If the documents are valid, you can reorder on Aliexpress.
We apologize for any inconvenience, and thank you for your patience and understanding.
expiry date huwa inaandikwa mwezi na mwaka tu. haina date. ukicheki vizuri format utaona wameweka (MM/YY)Najaribu kuingiza expiry date naona wameniruhusu tu kuandka tarehe na mwez najarbu kuingiza mwaka nashndwa,, kwan utaratibu upoje wa kuandka hiz expiry date?
Okey ngoja nijarbu Teena mkuuexpiry date huwa inaandikwa mwezi na mwaka tu. haina date. ukicheki vizuri format utaona wameweka (MM/YY)
Tumia PC, utafanikiwa.Najaribu kuingiza expiry date naona wameniruhusu tu kuandka tarehe na mwez najarbu kuingiza mwaka nashndwa,, kwan utaratibu upoje wa kuandka hiz expiry date?
Hivi inawezekana kudeposit kutoka mpesa MasterCard had kwa broker et??Tumia PC, utafanikiwa.
Mimi pia nimeipenda hiiBinafsi mimi nimependa sana hii technolojia ya virtual kadi, kwa upande wa expire naona wameipa card hii muda mfupi sana, kingine cha kufurahia ukitoa pesa kwenye M-Pesa ya kawaida kwenda M-Pesa master card ni bure kabisa! big up kwa Vodacom huu teknolojia imekaa mahali pake
Hapana hata kama huna account ya bank. Yaani M-Pesa MasterCard inasimama badala ya bankWakuu ni lazima uwe na ACC ya ABCbanc?
Posta ina gharama yoyote?Mimi sina mashaka na posta, na sidhani kama mizigo inapotelea mikononi mwa posta ya Tanzania.