Hatimaye! Unaweza kufanya malipo mtandaoni kwa M-Pesa

Kupokea kwa PayPal bado, ila utaweza kupata refund tu.
Nilihitaji ku link kadi yangu ili niweze kuitumia kulipia paypal nanipokuwa nafanya manunuzi ebay. Je! hii MPESA itakubali kulipa?na ili paypal iwasiliane na MPESA yangu nitafanyaje?
 
Haya ndo mambo tunataka sasa, Jev vipi kulink hio Virtual card na paypal inakubali mana Sellers wengi amazon na ebay wanapokea via PayPal, na vipi kuhusu kupokea malipo kwa PayPal imeanza au bado?
Bila shaka,... inakubali mkuu. Kupokea malipo bado ni changamoto kwa hapa TZ
 
Ngoja nifanye mchakato wa kuagiza Hemp seed oil kutoka kwa Trump Kuna mdau ana-ship dunia nzima.
 
Nilihitaji ku link kadi yangu ili niweze kuitumia kulipia paypal nanipokuwa nafanya manunuzi ebay. Je! hii MPESA itakubali kulipa?na ili paypal iwasiliane na MPESA yangu nitafanyaje?
Ndio itakubali kulipa, hela utaiamishia kutoka m-pesa kwenda M-pesa Card na tayari pesa itakuwa kwenye mfumo wa MasterCard tayari kwa malipo ya PayPal. Jaribu kufungua uone.
 
BancABC kwa kushirikiana na MasterCard, wamezindua huduma mpya iitwayo M-Pesa-Mastercard ni ya kwanza na ya kipekee Tanzania itakayomuwezesha mteja wa M-Pesa kuweza kulipia huduma na bidhaa mitandaoni katika tovuti mbali mbali Duniani zinazopekea malipo kwa MasterCard. Kupata huduma hii ya Virtual Card piga *150*00# chagua lipa kwa M-Pesa, chagua M-Pesa MasterCard, kutengeneza kadi yako. Utapata Card Number, Expiration date pamoja na CVV Number ndani ya sekunde chache tu!
Nilitamani hili muda nashukuru kwa kutimia
 
Nimejaribu kununua kupitia Master card ya voda na haya ndio majibu baada ya masaa kadhaa kupita.

Thank you for shopping on AliExpress !
We are sorry to inform you that we have to cancel your order for security reasons. To make sure your transaction is secure, please provide us with documentation by clicking My Appeal for further verification.
When we receive your documents, we will verify them within 3 business days. If the documents are valid, you can reorder on Aliexpress.
We apologize for any inconvenience, and thank you for your patience and understanding.
 
Hii huduma naipokea kwa mikono miwili maana kuna siku CRDB walinikatisha tamaa, nilijaza form za online purchase lakini hadi leo ilishindikana kufanya manunuzi maana hawakukamilisha taratibu na nilikata tamaa kabisa ya kurudi huko benki. Kwa hiyo naona hii issue itanifaa sana. ngoja niagize iPhone X hapa toka kwa Trump maana huko zinauzwa bei chee
 
BancABC kwa kushirikiana na MasterCard, wamezindua huduma mpya iitwayo M-Pesa-Mastercard ni ya kwanza na ya kipekee Tanzania itakayomuwezesha mteja wa M-Pesa kuweza kulipia huduma na bidhaa mitandaoni katika tovuti mbali mbali Duniani zinazopekea malipo kwa MasterCard. Kupata huduma hii ya Virtual Card piga *150*00# chagua lipa kwa M-Pesa, chagua M-Pesa MasterCard, kutengeneza kadi yako. Utapata Card Number, Expiration date pamoja na CVV Number ndani ya sekunde chache tu!
Kwanini uhai wa kadi ni muda mfupi/mwezi mmoja pekee
 
ukija paypal nistue mwalim , nataka nijue pia rate zako zikoje, kama nikitaka kutoa usd 500 mpaka inifikie mkononi itakua kiasi gani!
Ninanunua USD toka SKRIL kwa rate ya 1usd = TZS 2,100

Hivyo kama una dola kiasi chochote kati ya USD 50 hadi 500 waweza ni cheki PM kwa taratibu za
- Wewe kuhamisha fedha kuja account yangu ya SKRILL na
- Mimi kukulipa kwa mpesa/ tigo pesa hicho kiasi husika

Mchakkato mzima ni ndani ya dakika tano tu.

Wajulishe na wadau wengine ambao account zao za SKRILL bado hazijawa verified, na wanahitaji cash TZS kwa haraka

Karibu
 
Back
Top Bottom