Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,944
- 18,654
Juzi waziri kazungumzia hali ya uchumi. Ingawa alianza na kusifu uchumi unakuwa ila mwishoni alieleza mwenyewe kuwa biashara zinafungwa na mfumuko wa bei umeanza kuongezeka.
Leo JPM naye katoa mpya ya mwaka. Kasema kuwa hali itaendelea kuwa ngumu mpaka pesa zitakosekana makanisani. Haya kayasema baada ya siku 6 kadinali Pengo kutoa tamko tata kuwa hali sasa imekuwa nzuri. Vitu vimeshuka bei.
Hii inaonesha dalili kuwa hata serikali maji yamewafika shingoni. Ni kweli hali ya uchumi imekaza. Wameshindwa hata kutoa makusanyo ya TRA ya mwezi November mpaka sasa.
Kwa habari nyepesi nyepesi ni kuwa tuna budget deficit ya zaidi ya 40%.