Hatimaye Serikali yaanza kukubali kuwa Hali ni ngumu.

Lazima watu wafanyekazi halali na kipato halali..wale ambao wameathiriwa na wapiga dili wakapatikana katika mtego wa awamu hii watusamehe tu..sisi tunasonga kuwaletea maendeleo wabongo..hiyo ni kauli ya wanaounga mkono JPM...the reverse is true..o_O:rolleyes:
ukiwauliza hadi sasa wamewaletea maendeleo gani wabongo wanakujibu kuwa Lowassa ni fisadi!
 
Hapo kuna mmoja mchochezi ni yohana paschali me mbezi au kaolin paschal?
 
Lazima watu wafanyekazi halali na kipato halali..wale ambao wameathiriwa na wapiga dili wakapatikana katika mtego wa awamu hii watusamehe tu..sisi tunasonga kuwaletea maendeleo wabongo..hiyo ni kauli ya wanaounga mkono JPM...the reverse is true..o_O:rolleyes:
Subiri utazinduka mda sio mrefu
 
Juzi Niliwaambia watu flani, kuwa sasa ndio tunaingia mwaka OG wa Yohana, wakawa wagumu kunielewa, ardhi zimekosa mvua, maghala ya chakula yameanza kuishiwa.
Wakati wa uchaguzi bibi mmoja wa kimasai alihojiwa na itv akaseme enzi zao kiongozi wa kimasai akichaguliwa na watu wote wakaridhia basi mvua zinakuwa za kutosha na chakula kinakuwa kingi,ng'ombe wanazaliana na magonjwa ya mifugo hakuna hivyo kila mtu katika jamii anakuwa na furaha.
 
Juzi waziri kazungumzia hali ya uchumi. Ingawa alianza na kusifu uchumi unakuwa ila mwishoni alieleza mwenyewe kuwa biashara zinafungwa na mfumuko wa bei umeanza kuongezeka.
a34666638c45ae3143db944b7891e84a.jpg

Leo JPM naye katoa mpya ya mwaka. Kasema kuwa hali itaendelea kuwa ngumu mpaka pesa zitakosekana makanisani. Haya kayasema baada ya siku 6 kadinali Pengo kutoa tamko tata kuwa hali sasa imekuwa nzuri. Vitu vimeshuka bei.

Hii inaonesha dalili kuwa hata serikali maji yamewafika shingoni. Ni kweli hali ya uchumi imekaza. Wameshindwa hata kutoa makusanyo ya TRA ya mwezi November mpaka sasa.

Kwa habari nyepesi nyepesi ni kuwa tuna budget deficit ya zaidi ya 40%.
40%!!

Hatari sana
 
40%!!

Hatari sana
2016/17 budget ni 28 trilion. Average tax incme ni 1 trillion. Mana yake kwa 12 months ni 12trillion. Iyo nyingine watatoa wapi?
Juzi waziri kazungumzia hali ya uchumi. Ingawa alianza na kusifu uchumi unakuwa ila mwishoni alieleza mwenyewe kuwa biashara zinafungwa na mfumuko wa bei umeanza kuongezeka.
a34666638c45ae3143db944b7891e84a.jpg

Leo JPM naye katoa mpya ya mwaka. Kasema kuwa hali itaendelea kuwa ngumu mpaka pesa zitakosekana makanisani. Haya kayasema baada ya siku 6 kadinali Pengo kutoa tamko tata kuwa hali sasa imekuwa nzuri. Vitu vimeshuka bei.

Hii inaonesha dalili kuwa hata serikali maji yamewafika shingoni. Ni kweli hali ya uchumi imekaza. Wameshindwa hata kutoa makusanyo ya TRA ya mwezi November mpaka sasa.

Kwa habari nyepesi nyepesi ni kuwa tuna budget deficit ya zaidi ya 40%.
 
Mtu mmoja akitenda dhambi, laana huweza kuikumba familia yake, ukoo wake, kijiji, kata, wilaya, mkoa na hata taifa nzima, kutegemeana na hadhi ya mtu huyo ktk familia, ukoo, kijiji, kata, wilaya, mkoa au taifa lake.

Hali ngumu ya uchumi inayoendelea sasa nchini huenda ni matokeo ya dhambi ya mtu/kikundi cha watu mwaka 2016

Wasipotubu hakika tutaangamia.
 
Hii nayo ya kulala masikini na kuamka tajiri sio nzuri na madhara yake ndiyo haya kuna waliojipanga katika kuupata utajiri kwasababu ya system wakashindwa
 
Mi nawalaumu ukawa tu, 2015 watu tulikuwa kwenye Hamasa kuona wapinzani wakisimama pamoja kuiondoa ccm. Lakini dakika za mwisho tukaanza kuisikia tetesi wanagombea majimbo na wanashindwa kukubaliana. Tarehe za kutangaza mgombea zikazidi kuahirishwa siku hadi siku. Mwishoni kabisa baada ya Lowassa kukatwa tukasikia tena tetesi anaenda ukawa kuendeleza safari yake ya matumaini. Tukabishana humu hasa kwa kuzingatia msimamo mkali wa upinzani (hasa chadema ) kwenye kupinga ufisadi na ile list of shame. Hatimaye kweli bwana jamaa akasimama kama mgombea. Hiyo ilikuwa ni uthibitisho kuwa walikuwa hawajajipanga na walikuwa hawajakubaliana mgombea urais hadi dakika za mwisho (imagine Rais walikuwa hawajamuandaa bado). Mbaya zaidi kuna majimbo kila chama kikasimama kivyake bila kujali ukawa! kiufupi walituchanganya na kutugawa. Tunataka mabadiliko lakini mabadiliko yaletwe na watu waliojipanga na kujiandaa na zaidi wawe na moyo wa dhati wa kizalendo. sio mabadiliko ya Asha anatoka Mwajuma anaingia. Jipangeni mapema 2020 na msiwe na uchu wa kugombea madaraka.
 
hivi zika ipo au haipo?
Utafiti wa NIMR uligundua ZIKA ipo nchi. Lakini mpaka muda huu hakuna mlipuko wa ZIKA.

Wanasiasa waliamua kumzika aliyetangaza taarifa ya utafiti (uwepo) wa ZIKA lakini bado ZIKA inadunda.

Back
Top Bottom