Hatimaye Serikali yaanza kukubali kuwa Hali ni ngumu.

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,944
18,652
Juzi waziri kazungumzia hali ya uchumi. Ingawa alianza na kusifu uchumi unakuwa ila mwishoni alieleza mwenyewe kuwa biashara zinafungwa na mfumuko wa bei umeanza kuongezeka.
a34666638c45ae3143db944b7891e84a.jpg

Leo JPM naye katoa mpya ya mwaka. Kasema kuwa hali itaendelea kuwa ngumu mpaka pesa zitakosekana makanisani. Haya kayasema baada ya siku 6 kadinali Pengo kutoa tamko tata kuwa hali sasa imekuwa nzuri. Vitu vimeshuka bei.

Hii inaonesha dalili kuwa hata serikali maji yamewafika shingoni. Ni kweli hali ya uchumi imekaza. Wameshindwa hata kutoa makusanyo ya TRA ya mwezi November mpaka sasa.

Kwa habari nyepesi nyepesi ni kuwa tuna budget deficit ya zaidi ya 40%.
 
Acha waisome namba eehh!!

Kuzuia Tatizo ni Rahisi Kuliko Kutibu Madhara ya Tatizo lililofumbiwa macho Likiwa Stage ya Kuzuiwa!

Mbio za sakafuni ......!!

Sasa mwakani kuna njaa ya kukata na jembe na nyundo

Tutapanda ndege hadi tushibe?

"Mkiambiwa uwezo wa mtu kufiikiri unalingana na mahitaji mtasema natukana?" by Mrisho Mpoto!
 
Lazima wataelewa tu maana kama hata mkuu kaya sema haya ni hatari
 
Acha waisome namba eehh!!

Kuzuia Tatizo ni Rahisi Kuliko Kutibu Madhara ya Tatizo lililofumbiwa macho Likiwa Stage ya Kuzuiwa!

Mbio za sakafuni ......!!

Sasa mwakani kuna njaa ya kukata na jembe na nyundo

Tutapanda ndege hadi tushibe?

"Mkiambiwa uwezo wa mtu kufiikiri unalingana na mahitaji mtasema natukana?" by Mrisho Mpoto!
Juzi Niliwaambia watu flani, kuwa sasa ndio tunaingia mwaka OG wa Yohana, wakawa wagumu kunielewa, ardhi zimekosa mvua, maghala ya chakula yameanza kuishiwa.
 
Lazima watu wafanyekazi halali na kipato halali..wale ambao wameathiriwa na wapiga dili wakapatikana katika mtego wa awamu hii watusamehe tu..sisi tunasonga kuwaletea maendeleo wabongo..hiyo ni kauli ya wanaounga mkono JPM...the reverse is true..o_O:rolleyes:
 
Jpm asione soo,aende akamuulize Lowasa namna ya kuondoa umaskini maana yeye alisema atauondoa na alikuwa amejipanga kwa muda mrefu.hivyo aende tu akapate hizo mbinu kwa maslahi ya taifa,vinginevyo akiendelea kuona yeye ni kila kitu huenda baadae tutakuwa kama Zimbabwe
 
Juzi Niliwaambia watu flani, kuwa sasa ndio tunaingia mwaka OG wa Yohana, wakawa wagumu kunielewa, ardhi zimekosa mvua, maghala ya chakula yameanza kuishiwa.

Cha ajabu hata hawanyanyui midomo kutoa hata tahadhari tu.

Yaani wako busy kutafuta kura za 2020 huku wanachi wanakaribia kuteketea

Shame on them politicians!

Watu wanashindana kununua vitu vya anasa vya bei juu wakati .....

Ngoja niwahi ticket ya ndege!!
 
Juzi waziri kazungumzia hali ya uchumi. Ingawa alianza na kusifu uchumi unakuwa ila mwishoni alieleza mwenyewe kuwa biashara zinafungwa na mfumuko wa bei umeanza kuongezeka.
a34666638c45ae3143db944b7891e84a.jpg

Leo JPM naye katoa mpya ya mwaka. Kasema kuwa hali itaendelea kuwa ngumu mpaka pesa zitakosekana makanisani. Haya kayasema baada ya siku 6 kadinali Pengo kutoa tamko tata kuwa hali sasa imekuwa nzuri. Vitu vimeshuka bei.

Hii inaonesha dalili kuwa hata serikali maji yamewafika shingoni. Ni kweli hali ya uchumi imekaza. Wameshindwa hata kutoa makusanyo ya TRA ya mwezi November mpaka sasa.

Kwa habari nyepesi nyepesi ni kuwa tuna budget deficit ya zaidi ya 40%.
hivi zika ipo au haipo?
 
Acha waisome namba eehh!!

Kuzuia Tatizo ni Rahisi Kuliko Kutibu Madhara ya Tatizo lililofumbiwa macho Likiwa Stage ya Kuzuiwa!

Mbio za sakafuni ......!!

Sasa mwakani kuna njaa ya kukata na jembe na nyundo

Tutapanda ndege hadi tushibe?

"Mkiambiwa uwezo wa mtu kufiikiri unalingana na mahitaji mtasema natukana?" by Mrisho Mpoto!
Tukisema uwezo wenu wa kufikiri haukidhi mahitaji mtasema tunawatukana
 
Ni kweli, Uwezo wetu wa kufikiri haukidhi mahitaji yenu!

Kumdhulumu maskini haki yake hata kama ni ndogo kiasi gani ni nje ya uwezo na fikra zetu

Nyie endeleeni, but hata 2016 ilidumu sana lakini jana imefail kuendelea

Every thing that stands can/ and have the right to fall

Karibu 2017, The yet nearest point to 2020

Time will tell, SOON!
 
Mkuu umenielewa tofauti hapo labda ni aina ya uandishi ndo haijawa wazi nilikusudia nini Mimi nilikuwa naweka sawa hyo statement ya mrisho mpoto mkuu tu
 
Back
Top Bottom