Hatimaye Serikali yaanza kukubali kuwa Hali ni ngumu.

This not a theme of the topic, anagalia kinachojengewa hoja ni nini kwanza, mleta hoja alijengaje hoja zake I mean

Duh! Sasa mbona unakimbia jibu la swali ulilouliza? Wewe umeuliza swali kwamba ukiongeza bei atanunua nani na mimi nimekujibu sasa hupendi jibu badala yake unasema I should get back to the topic? Did you ask your question out of the topic?
 
Rais anayefurahia mateso ya wananchi wake!!!! Anatamani hadi wakose sadaka na anataka eti wamuombee waache kuombea watu wa muhimu kwenye taifa wamuombee yeye mbinafsi........
NAHISI NNA HASIRA SN.
 
Back
Top Bottom