Hatimaye Serikali yaanza kukubali kuwa Hali ni ngumu.

Juzi waziri kazungumzia hali ya uchumi. Ingawa alianza na kusifu uchumi unakuwa ila mwishoni alieleza mwenyewe kuwa biashara zinafungwa na mfumuko wa bei umeanza kuongezeka.
a34666638c45ae3143db944b7891e84a.jpg

Leo JPM naye katoa mpya ya mwaka. Kasema kuwa hali itaendelea kuwa ngumu mpaka pesa zitakosekana makanisani. Haya kayasema baada ya siku 6 kadinali Pengo kutoa tamko tata kuwa hali sasa imekuwa nzuri. Vitu vimeshuka bei.

Hii inaonesha dalili kuwa hata serikali maji yamewafika shingoni. Ni kweli hali ya uchumi imekaza. Wameshindwa hata kutoa makusanyo ya TRA ya mwezi November mpaka sasa.

Kwa habari nyepesi nyepesi ni kuwa tuna budget deficit ya zaidi ya 40%.
Hii ni mara ya kwanza kua budget deficit?
 
kwa nini usimpe ongera JPM kuudhibiti mfumuko wa bei karibu mwaka mzima halafu chanzo chenyewe cha habari ni National Bureau of Statistics (NBS)?. HAYA bhana,
 
Mtu mmoja akitenda dhambi, laana huweza kuikumba familia yake, ukoo wake, kijiji, kata, wilaya, mkoa na hata taifa nzima, kutegemeana na hadhi ya mtu huyo ktk familia, ukoo, kijiji, kata, wilaya, mkoa au taifa lake.

Hali ngumu ya uchumi inayoendelea sasa nchini huenda ni matokeo ya dhambi ya mtu/kikundi cha watu mwaka 2016

Wasipotubu hakika tutaangamia.
Hizi hadithi sasa!!! sera mbovu za mtukufu rais ndizo zinazochangia hali mbovu ya kiuchumi unadhani ukitubu na ukabaki na sera mbovu na kutotaka kujua tatizo ndo mambo yatabadilika?
 
kwa nini usimpe ongera JPM kuudhibiti mfumuko wa bei karibu mwaka mzima halafu chanzo chenyewe cha habari ni National Bureau of Statistics (NBS)?. HAYA bhana,
Hajadhibiti mfumuko wa bei. Kadiscourage production what do u expect in future?

Na mfumuko wa bei anaoongelea ni bidhaa zilizokuwa zikizalishwa tz. Kama ni sukari imepanda. Mafuta nayo yamepanda ukikompare na 2015. Sasa ni kipi cha maana kilichokuwa kimeshuka?
 
Utafiti wa NIMR uligundua ZIKA ipo nchi. Lakini mpaka muda huu hakuna mlipuko wa ZIKA.

Wanasiasa waliamua kumzika aliyetangaza taarifa ya utafiti (uwepo) wa ZIKA lakini bado ZIKA inadunda.

Hii video itakucost mkuu. Wanaisaka kila mahali wahakikishe haisambai.
 
Hajadhibiti mfumuko wa bei. Kadiscourage production what do u expect in future?

Na mfumuko wa bei anaoongelea ni bidhaa zilizokuwa zikizalishwa tz. Kama ni sukari imepanda. Mafuta nayo yamepanda ukikompare na 2015. Sasa ni kipi cha maana kilichokuwa kimeshuka?
Mimi ndio nimeshangaa chanzo cha habari (NBS)kwa sababu kipindi wanatangaza bidhaa ambazo zilichaguliwa kudetermine mfumuko WA bei si bidhaa ambazo zilikuwa zinatumika na wengi waliweka mtama na thamani ya sh 100 kununua vitu kipindi hiko wakaacha sukari na vitu vingine aaggh yaani kiujumla sanaaa tu.
 
Lazima watu wafanyekazi halali na kipato halali..wale ambao wameathiriwa na wapiga dili wakapatikana katika mtego wa awamu hii watusamehe tu..sisi tunasonga kuwaletea maendeleo wabongo..hiyo ni kauli ya wanaounga mkono JPM...the reverse is true..o_O:rolleyes:
Nafasi zimesha jaa pole sana
 
Hii budget deficit inaweza ikavunja record sababu zipo wazi kabisa. Hakuna msaada toka nje kama zamani. Pato limeshuka ila matumizi ni yale yale.
Ungeweka data,hata hivyo haipendezi kuegemea sana misaada ya nje kwakua cha kuomba hakina ratiba.Je hilo pato limeshuka kwa kiasi gani (℅gewise) ukulinganisha na wakati km huu uliopita?
 
Huo ni wivu na serikali yetu sikivu hali ya maisha ni nzuri sana na muda si mrefu uchumi wetu utakuwa imara kama china na karibuni tutaanza kumiliki silaha za nyuklia
Mmh hiki ni kilio kisicho na mbembelezaji, Tunachanganyikiwa.
 
Juzi waziri kazungumzia hali ya uchumi. Ingawa alianza na kusifu uchumi unakuwa ila mwishoni alieleza mwenyewe kuwa biashara zinafungwa na mfumuko wa bei umeanza kuongezeka.
a34666638c45ae3143db944b7891e84a.jpg

Leo JPM naye katoa mpya ya mwaka. Kasema kuwa hali itaendelea kuwa ngumu mpaka pesa zitakosekana makanisani. Haya kayasema baada ya siku 6 kadinali Pengo kutoa tamko tata kuwa hali sasa imekuwa nzuri. Vitu vimeshuka bei.

Hii inaonesha dalili kuwa hata serikali maji yamewafika shingoni. Ni kweli hali ya uchumi imekaza. Wameshindwa hata kutoa makusanyo ya TRA ya mwezi November mpaka sasa.

Kwa habari nyepesi nyepesi ni kuwa tuna budget deficit ya zaidi ya 40%.
Nyie ndio laana. Yaani mna kiu ya kupata habari mbaya kuhusu serikali ya jpm hadi inatia kinyaa. Yaani mumekaa kuombea adui njaa. Kwa uroho wenu wa madaraka mumegeuka adui wa taifa. Sasa huyo atakayewapa urais wa taifa hili ni nani. Mkiitwa nyumbu hakika ni sahihi.
 
Na bado

Tunaojipatia zetu vizuro tangu zamani ndio hatulalamiki

Namba itazidi kusomwa, wananchi wavivu acheni uvivu

Hapa kazi tu
 
Ungeweka data,hata hivyo haipendezi kuegemea sana misaada ya nje kwakua cha kuomba hakina ratiba.Je hilo pato limeshuka kwa kiasi gani (℅gewise) ukulinganisha na wakati km huu uliopita?
Wewe naye. Nyie ndyo mmesoma vyuo vya chocho yani huwezi hata kutafta data mwenyewe na kuzi interpret mwenyewe.
 
Nyie ndio laana. Yaani mna kiu ya kupata habari mbaya kuhusu serikali ya jpm hadi inatia kinyaa. Yaani mumekaa kuombea adui njaa. Kwa uroho wenu wa madaraka mumegeuka adui wa taifa. Sasa huyo atakayewapa urais wa taifa hili ni nani. Mkiitwa nyumbu hakika ni sahihi.
Tatizo sio watu wanapenda taharfa mbya. Hali yenyewe tunaiona ila inatuuma tunapodanganywa kama watoto wachanga vile. Tunapelekwa kama punda. Unachapwa huku unapewa carrot.
 
Juzi waziri kazungumzia hali ya uchumi. Ingawa alianza na kusifu uchumi unakuwa ila mwishoni alieleza mwenyewe kuwa biashara zinafungwa na mfumuko wa bei umeanza kuongezeka.
a34666638c45ae3143db944b7891e84a.jpg

Leo JPM naye katoa mpya ya mwaka. Kasema kuwa hali itaendelea kuwa ngumu mpaka pesa zitakosekana makanisani. Haya kayasema baada ya siku 6 kadinali Pengo kutoa tamko tata kuwa hali sasa imekuwa nzuri. Vitu vimeshuka bei.

Hii inaonesha dalili kuwa hata serikali maji yamewafika shingoni. Ni kweli hali ya uchumi imekaza. Wameshindwa hata kutoa makusanyo ya TRA ya mwezi November mpaka sasa.

Kwa habari nyepesi nyepesi ni kuwa tuna budget deficit ya zaidi ya 40%.
na bado....serkali itaendelea kuisoma namba hadi kieleweke...wafadhili waliokuwa wakichangia 60% ya bajeti wamegoma kuchangia, hivyo kutakuwa na naksi ya 60% ya bajeti ya serikali.
 
Back
Top Bottom