Kutokana na kupotea kwa ndege ya malaysia airline iliyopotea tangu mwishoni mwa wiki iliyopita,serikali ya malaysia imeamua kutumia waganga wa kienyeji kusaidia kutafuta ndege hio.
source radio free Afrika
The ONLY and SOLE answer is JESUS CHRIST. Period.
If truly they want to know where is the plane, just call Jesus,
The ONLY and SOLE answer is JESUS CHRIST. Period.
If truly they want to know where is the plane, just call Jesus,
Tusaidie kumuita basi mPM
The ONLY and SOLE answer is JESUS CHRIST. Period.
If truly they want to know where is the plane, just call Jesus,
Technology haijashindwa kwasababu ni kitu dynamic
Tatizo ni kuwa inachukua muda mrefu kupata hiyo ndege than expected
Ndege iko Gamboshi, waniwekee hela ya bia na nyama choma kwenye simu yangu, niwape ndege yao.Bujibuji hii tunaita safari na mziki, hapo ulipo umeona ndege ya malaysia?
Ndege iko Gamboshi, waniwekee hela ya bia na nyama choma kwenye simu yangu, niwape ndege yao.
Mbali na Air France Flight 447(Airbus A330 jet),zilizowahi kupotea ni: -Adam Air(Boeing 737) iliyokuwa operated na Indonesian Airline.Ilipotea Jan 1,2007.Mabaki yalionekana baada ya siku kadhaa,watu wote 102 waliokuwemo walikufa.
-Merpati Nusantara(1995),ilipotea na haikupatikana tena.
-Faucett Airlines(1990)
-Uruguay Air Force(1972)
-Flying Tiger Line(1962)-Lockheed L-1049H Super Constellation.
Hizo ni baadhi tu.
ngoja niulize mizimuCc airport malaysia
Shingapi kwa kuanzia?
ngoja niulize mizimu
ntataja matisatisa meeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeengiUsitaje 1 na masifuri meeeengi mkuu nchi bado maskini ile