MADARAKA DANIEL
Member
- Oct 26, 2012
- 93
- 22
Na hao waganga wa kienyeji wamefanikiwa kuipata ndege?
Waganga nao wanatumia sayansi pia
Hata technology nayo imeshindwa, so ni sare mpaka sasa
Kuna mtu mwenye akili timamu kweli anaweza amini nazi inaweza rudisha ndege ilhali technology ya mtu mweupe imeshindwa!! Cha ajabu zaidi yule mganga anaamini ndege bado ipo angani. Hawa waganga na TB Joshua wote lao moja hawana lolote; na ndege kupotea bila mafanikio ya kuipata tena inawezekana maana ishawahi tokea mara kadhaa

Kutokana na kupotea kwa ndege ya malaysia airline iliyopotea tangu mwishoni mwa wiki iliyopita,serikali ya malaysia imeamua kutumia waganga wa kienyeji kusaidia kutafuta ndege hio.
source radio free Afrika
Wakitaka kuiona wajisalimishe kwa mkuu wa freemansons atawaambia alikoificha.
Malaysia hakuna waganga wa kienyeji? Kaka tembea
Mkuu wa freemasons ni nani? Yuko wapi? Ndio kapoteza ndege? Ni ujinga kuamini propaganda za freemasons/Illuminati