Hatimaye Ronaldo amvisha pete GF wake wa muda mrefu Georgina. Je, amejifunza yaliyomkuta Birdman kwa Toni Braxton?

Hatimaye Ronaldo amvisha pete GF wake wa muda mrefu Georgina. Je, amejifunza yaliyomkuta Birdman kwa Toni Braxton?

Xi Jinping

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2023
Posts
8,102
Reaction score
23,690
Mimi sio nabii ila kama Ronaldo hajamsainisha babe mama wake Georgina mkataba wa prenup kulinda assets zake kabla ya kufunga ndoa na mrembo huyo.

Yatamkuta yale ya Birdman kwa mshangazi Toni Braxton au ya mastaa wengine wa kiume.

Birdman alijaa kwenye mfumo. Baada ya kuwa kwenye mahusiano na Toni kwa miaka 16 akaona sasa ni wakati wa kumvisha pete na kufunga naye ndoa.

Kilichomkuta sasa baada tu ya miezi 2 ya ndoa! Toni akafile divorce. Kidogo wafikie kutalikiana bibie achukue kibunda chake ila ndoa imenusurika. Huko alipo Birdman is learning the hard way.

Kama Ronaldo naye atahisi kuwa muda mrefu ambao mrembo Georgina amevumilia kuwa naye kama GF tu na kuzaa naye ni kipimo tosha kwamba amuweke ndani kihalali kama wife awe makini sana.

Modern women are the worst criminals, dont trust them.

Kama bibie Toni kwa Birdman, bidada Georgina knows how to play long game.

Na Ronaldo kama hatapitia modules za Achraf Hakimi, mashabiki zake mjue GOAT wenu anaenda kupotea kama Mr Ki kwa Hamisa.

Kwa terms za usajili tunasema CR7 anakaribia kuingia deal lenye unfavourable terms. Akijichanganya tu ikawa agreed upon 100% done deal, Here we go!

Ronaldo is about to perish. Dont trust women.

Learn or Perish
 
Nimeona humu ndani nyuzi kadhaa wanaume wakilalamika baada ya kuoa tu wake zao wakawabadilikia

Mwanamke akishapata alichokuwa anakitafuta "ndoa" basi hapo hutakosa kuona her true colors

Ndoa ni gereza kwa mwanaume
Mwanamke ni kiumbe katili sana, miaka hii ukiamua kuoa ujiandae kisaikolojia kuwa umemleta tapeli nyumbani kwako
 
Cr7 anaenda kustaafu soka soon naona kaamua aoe baada ya soka kuisha. Ni hatua nzuri ila awe makini, hiyo ya birdman ndio nmeiona leo.

Wanawake wa dunia ya teknolojiaaa ni hatari sana hasa ukiwa na mali.
 
CR7 awe makini sana naamini Georgina tayari ana hesabu zake kali sana

Birdman alijichanganya kwa milf Toni, mnyamwezi anapelekeshwa coz ndoa inamlinda mwanamke

Imagine Toni ndiye alianza kufile divorce, baadaye bibie mwenyewe akawa wa kwanza kusitisha na Birdman akakubaliana naye

So far Birdman ameshajua anaishi na mwanamke wa aina gani. Issue ni kwamba hakumsainisha prenup
 
Na ukishamuoa haiwezekani tena kusign prenup?
 
Nimeona humu ndani nyuzi kadhaa wanaume wakilalamika baada ya kuoa tu wake zao wakawabadilikia

Mwanamke akishapata alichokuwa anakitafuta "ndoa" basi hapo hutakosa kuona her true colors

Ndoa ni gereza kwa mwanaume
Siyo kweli. Wanaume mnabadilka ndiyo sababu ya wanawake kubadilika mtu ana michepiko kibao kurudi nyumbani usiku mnene au asirudi,unategemea huyo mwanamke asibadilike.

Wengi hamtaki kuelewa kama mwanamke akianza zaa hawezi kuwa kama ulivyomchumbia lazima uelewe hilo maana hata wewe mwanaume unabadilika pia kadri umri avyoenda.
 
Ni sawa unachosema,

Hata bila ya mume wake kumcheat mwanamke akishaolewa hubadilika

Ila tukirudi upande wa ndoa wanawake wanachukulia ndoa kama kitegauchumi

Mwanamke pekee mwenye haki ya kulalamika mwanaume wake akimcheat ni yule aliyekutwa bikira
 
Women of nowadays are very dangerous and hard to deal with, in short they are very complex in nature. CR7 should be warned.
A lot of men thought they chose the right women and ended up in the courtroom, women are evil by nature, there is no right or wrong women, they are all the same
 
Back
Top Bottom