Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 72
au wangepewa wabunge wa CDM maana hao ndo wanafanya kazi kweli kwa wananchi.
Wamefanya yapi? Tupe mifano angalau michache.
au wangepewa wabunge wa CDM maana hao ndo wanafanya kazi kweli kwa wananchi.
Hiyo haitoshi, zingefutwa kabisa hata hizo 70,000/-. Watu wenyewe kazi yao kulala tu na kupumulia masaburi,hizo 80,000/- za kujikimu zinawatosha sana hawa wachumia tumbo.
Madaktari waliposikia kuwa posho za wabunge zimepanda nao wakachachamaa na kugoma.
View attachment 47352
UTATA unauona! lakini unataka kufumba macho. Mhimili moja unasema zimepitishwa na rais na zimelipwa. mkuu wa serikali Bungeni anasema zimepitishwa na Rais na zimelipwa. Spika Makinda na Ndugai nani mwenye taarifa za ukweili. JK na Pinda nani mkweli. Hii inaitwa "KAJUNGULUKEY" ukipenda kudanganyana ili kutuibia!! Huu ni ushetani kuliko ule wa mwanzo. Tumekwisha!! Usanii=wizi. Hii ndiyo serikali ya Kisanii.Wanabodi.
Hatimaye nyongeza ya posho za vikao vya wabunge kutoka Sh70,000 hadi Sh200,000 zimefutwa, Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema.
Kauli hiyo rasmi kutoka kwa kiongozi wa Bunge imekuja baada ya kuwapo kwa taarifa za kutatanisha kuhusu posho hizo..
Baada ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Spika wa Bunge kutangaza Rais Jakaya Kikwete, aliidhinisha lakini Ikulu ikakanusha.
Ndugai alisema posho hizo hazijawahi kulipwa kwa kuwa Rais hajatoa kibali cha kufanyika hivyo.
Hakuna cha spika alisema hapo Ikulu imesema Rais hajasaini posho zitaendelea zile za zamani kama kawaida.
SOURCE: MWANANCHI FEB 14 2012
Hawakupotosha ni wakweli posho zimeongezwa na zimelipwa!! It is IMPOSSIBLE FOR SUCH A CONTROVERSY! IN THE PUBLIC OFFICES!Good move. Sasa wale walioupotosha UMMA (Pinda na Makinda) wameomba radhi?
Na sijui ni kwa nini instinct zangu zinaniambia hii kitu imewekwa pending kwa muda tu.
Inawezekana Mkuu watu wanapima upepo wanaweza kuirudisha kimya kimya!!!!!
Wanabodi.
Hatimaye nyongeza ya posho za vikao vya wabunge kutoka Sh70,000 hadi Sh200,000 zimefutwa, Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema.
Kauli hiyo rasmi kutoka kwa kiongozi wa Bunge imekuja baada ya kuwapo kwa taarifa za kutatanisha kuhusu posho hizo..
Baada ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Spika wa Bunge kutangaza Rais Jakaya Kikwete, aliidhinisha lakini Ikulu ikakanusha.
Ndugai alisema posho hizo hazijawahi kulipwa kwa kuwa Rais hajatoa kibali cha kufanyika hivyo.
Hakuna cha spika alisema hapo Ikulu imesema Rais hajasaini posho zitaendelea zile za zamani kama kawaida.
SOURCE: MWANANCHI FEB 14 2012
Naunga mkono. Mkono wa serikali mrefu umefika hadi bungeni kuzuia posho. Ni kazi ya mikono ya kikwete
Mkuu Tatizo Rais amekaa nje miaka 3.5 kati ya miaka 6 aliyokaa madarakana sasa mambo yanayoendelea ndani hawezi kuyajua kwa miaka 2.5. halafu yeye na waziri hawapeani updatesKuna mtu anatakiwa awajibike hapo. Serikali moja lakini kauli tofauti tofauti. PM kauli yake, Spika kauli yake, naibu spika naye na mwisho Mkuu wa Serikali na Nchi naye anakanusha.