Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,479
- 9,546
Ndugu wanajamvi kwa mamlaka niliyopewa na niliyojiongezea mimi mwenyewe nachukua fursa hii kutangaza RASMI ndoa kati ya nitonye na bibie Arabela itakayofanyika siku ya keshokutwa jumamosi tarehe 31/08/2013 huko kijijini kwao Kyabakali mkoani Kagera, Wote mnakaribishwa.
Kwa wale mtakaohudhuria harusini wasiliana na Bishanga na kyanaKyoMuhaya kwa ajili ya usafiri wa ndege ya kukodi hadi kijijini, kwa mlioko Mwanza wasilianeni na charminglady kuna boti ya kukodi pale iko standby, wakati huo KakaKiiza anawasiliana na wakala wa fastjet kwa ajili ya usafiri toka Dar, Arusha na Kilimanjaro.
Kwa sababu za kiusalama zubedayo_mchuzi na Mamndenyi hawataruhusiwa kuhudhuria.
Mtakaohitaji kutoa michango tumeni kwangu mwenyekiti kwa M-Pesa, Tigopesa na Ezypesa..
Wakatabahu
Baba V
The Life chairperson.

Last edited by a moderator: