Hatimaye nipo huru

Kama alisema basi vizuri

Kutopatikana miili yao sio kwamba hawajafia majini
Katika ile Ajali ya spice islander kuna miili iliokotwa kenya uko ambayo haina macho na sehemu kubwa ya miili yao samaki wameshaila
Kwaio labda wameliwa na samaki
 
Kwa wale ambao wapo interested kutaka kujua zaidi kuhusu Majini wapitie uzi huu hapa chini, kuna mdau LIKUD ameandika na kuna ya kujifunza humo

Kama alisema basi vizuri

Kutopatikana miili yao sio kwamba hawajafia majini
Katika ile Ajali ya spice islander kuna miili iliokotwa kenya uko ambayo haina macho na sehemu kubwa ya miili yao samaki wameshaila
Kwaio labda wameliwa na samaki
Yeye amesema huenda hajasema kwa hakika kwamba hawakufiA majini so ni probability na hata wewe unaposema miiili imekutwa Kenya ni probability kuwa na yao ilikutwa huko wewe pia huna uhakika namimi naongeza labda walirudi kwenye asili yao nayo pia ni probable sina uhakika so katika hili hakuna mwenye uhakika si wewe si yeye si mimi
 
Asante sana ka simulizi nzuri sana!
 
nimeumia mateso aliyopata huyo kondoo
 
nimeumia mateso aliyopata huyo kondoo
Hata mimi

Wakati nahadithiwa nilidhani anachunwa ngozi hadi aliponifafanulia

Alinyolewa manyoya!

Ila kufa kwa kukosa hewa iwe kwenye maji, au moto chochote kitakachoziba usipate hewa hakielezeki!
 
Hichi kipande kimenitoa machozi
 
Sub
 
Hata mimi

Wakati nahadithiwa nilidhani anachunwa ngozi hadi aliponifafanulia

Alinyolewa manyoya!

Ila kufa kwa kukosa hewa iwe kwenye maji, au moto chochote kitakachoziba usipate hewa hakielezeki!
mkuu mie sina mengi yakusema ila niseme tu hii dunia ina mateso mengi sana yakila namna,nimejifunza mengi kwakushuhudia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…