Ndio Naelewa hilo ila amesimulia vizuri sana japo alihafithiwa tu!!Hiyo sio hadithi ya kutunga. Ni maisha binafsi ya rafiki wa mwandishi. Ila mwandishi ameisimulia vizuri sana.
Ume enjoy eeeFinally nimemamaliza!
Kumbe majini nayo yana masharti kwa watoa tiba wao na hawataki wachague wa kuwaoa??? Duhh!!
Baba yake alimkataa kwa vile alitembea na jini wa jamii nyingine.Masikini...... kwahio ilishindikana kuzirudisha Hizo nguvu au kwakua ulikua ushazama kwa Behat so hukutaka kumchezea????
Ila Hongera sana mkuu!
Ni Kweli sifananii na ban kabisa na Hujakosea Ndiomana hata wewe unashangaa means unanifahamu somehow kuwa sinaga mawaa na mtu!!Hufananii na ban. Ngoja nikaone baraa gani ulifanya huko
Mnooo ila nilisikitika sehemu ya alipopokonywa nguvu za kitabibu!!Ume enjoy eee
Ni Kweli sifananii na ban kabisa na Ndiomana hata wewe unashangaa means unanifahamu somehow kuwa sinaga mawaa na mtu!!
Kufahamu hilo tu ni credo toshaaa na asante sana!
OkMnooo ila nilisikitika sehemu ya alipopokonywa nguvu za kitabibu!!
Nashukuru sana mkuu
Yeah nimeona hilo!! Kwani si hakujua angepewa second chance Jamani au ndio Golden chance never come twice !! Ila yote kher some things happens ili mengine yaliyokusudia pia yatokee!!Baba yake alimkataa kwa vile alitembea na jini wa jamii nyingine.
π€£π€!ila hili jibu daa
Hiyo innocence iliyopo hapo balaa!
Limekukosha sanaa ehh??
Kweli I'm innocent mkuu!!Hiyo innocence iliyopo hapo balaa
Hee..pole sana my dear ndo maaana kumepoa....simuoni cocastic na ushambenga wake akileta amsha amsha Tena kapoa km mkojo wa ng'ombe!!!Asante madam ..kule tangu ile siku nilizuiliwa kukoment hadi March huko! Pia Huku kwingine nilipewa ban ya Wiki moja ila ishaisha!
Hata huku kutanoga Sasa ulikohamia mbona....Ni Kweli sifananii na ban kabisa na Hujakosea Ndiomana hata wewe unashangaa means unanifahamu somehow kuwa sinaga mawaa na mtu!!
Kufahamu hilo tu ni credo toshaaa na asante sana!
Coca nae kazuiliwa mwezi mzima!! Mie kule midamida huwa napita kulike tu kwani kuna wapendwa huwa wananitag niwablesss ila ndoivo !Hee..pole sana my dear ndo maaana kumepoa....simuoni cocastic na ushambenga wake akileta amsha amsha Tena kapoa km mkojo wa ng'ombe!!!
Unamissika dear
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nipo nayo nasonga nayo sasa ipo taam kama asaliNi nzuri sana mkuu huko mbele inanoga balaa!
Umeona eeehh!!Nipo nayo nasonga nayo sasa ipo taam kama asali
πππ Ku reply huku mpaka nimepoteza nikisoma aya ipiUmeona eeehh!!
Enjoy the story mkuu
π€£π€£π€£π€£π€£ Lol pole ! Haya ngoja nikuache umalizie kwanza hahahah!!πππ Ku reply huku mpaka nimepoteza nikisoma aya ipi
Hehehehehe!!!usinambie nyote wawiliCoca nae kazuiliwa mwezi mzima!! Mie kule midamida huwa napita kulike tu kwani kuna wapendwa huwa wananitag niwablesss ila ndoivo !
Fanyeni pachangamke bana Self isipoe isiboe!!
Ngoja tupumzike kwanza tuendelee nahuku kwingine !
Yanii majuzi kati nilipita nikaona koments zako nikasema kweli wewe mtu mkubwa humu mie pia nilijua huwezi koswa π!!!Hehehehehe!!!usinambie nyote wawili!!!ule msala au?!!niliponaje!!!!Mimi SI wajua mambo Mengi dadaa!!!
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app