Hatimaye nimeoa 15/10/2026

KWELI wewe unafaa kulipa mahari, siyo wale wafiwa wa mimba na wake za watu nao wanataka eti kulipiwa mahari.
 
Hongera japo punguza kamdomo watakutindulia wana mpaka ushangae. We hilo lingebaki lako tu bikra huwa hazipendi kutangazwa mkuu
Hata wakitindua hawataikuta Bikra, itakuwa ni Sawa na hao wengine tuu. Huyu tayari mke wa MTU hata wakiachana bado signature ya jamaa haiondoki.
 
hongera.
ili uwe na maendeleo mema malushauri uangalie movie ya Trust. na usome vitabu vyangu
 
Bikra ishafunguliwa ngoja tuone gombania goli 😂 kuna mabint hua wanaitunza ili itolewe kwa ndoa kwa heshima ya familia yao au woga aliowekewa ila sasa CHUMA KIKIFUNGULIWA FREE ZONE ATAGAWA TU
 
We fala unatusemanga tulioa wake za watu...poa haina noma dunia duara 🤣
 
Ongera kwa kunywa soda yenye gas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…