Hatimaye nimemuona Shikuba

billduke

JF-Expert Member
Mar 19, 2013
860
898
Kama mdau ambaye nilikuwa na hamu ya kumjua huyu drug lord maarufu ambaye Waziri wa sheria kaomba apelekwe mahakamani kujibu Mashatka yake...
Nilikuwa na hamu ya kumjua au kumuona Kama watu wengi walikuwa wakiomba kumuona..
...Angalia picha yake siku alipopelekwa mahakamani kisutu
 
Attachments

  • IMG_8614.jpg
    IMG_8614.jpg
    21.9 KB · Views: 135
DRUG LORD ANASAFIRISHA UNGA KWENYE MAGALONI_:D:D:D,HUYU NI MUUZA UNGA TU REJA REJA,HAWEZI KUFIKA KUITWA DRUG LORD.
HATA HAPO ESCORT YAKE INGEKUA BALAA KM ANGEKUA DRUG LORD,HUYO MUUZAJI WA KAWAIDA TU NA ANA PUNDA WAKE KADHAA TU NA MA PUSHER AMBAO YEYE NDIO KAWAONYESHA NJIA
 
Unadhan kwanini USA wanamhitaji na wamepiga TANJI mali zake zote?Umeshawah kusoma historia yake?
Itafute humu au muulize mrangi akwambie
 
Kweli mapambano ya dawa za kulevya yanatekelezwa kivitendo,vijana wameanza kujisalimisha kwenye UGOLO yaani siku hizi utakuta Babu na Mjukuu wake wanagongeana UGOLO ili wapate stimu.
 
  • Thanks
Reactions: e2n
DRUG LORD ANASAFIRISHA UNGA KWENYE MAGALONI_:D:D:D,HUYU NI MUUZA UNGA TU REJA REJA,HAWEZI KUFIKA KUITWA DRUG LORD.
HATA HAPO ESCORT YAKE INGEKUA BALAA KM ANGEKUA DRUG LORD,HUYO MUUZAJI WA KAWAIDA TU NA ANA PUNDA WAKE KADHAA TU NA MA PUSHER AMBAO YEYE NDIO KAWAONYESHA NJIA
Shkuba alikuwa n'a mtandao wa ksafirisha madawa dunia nzima....kuanzia marekani,canada,brazil,ulaya,Asia,africa etc...
Elchapo anawrza kumzidi shkuba kifedha lkn when or comes to netwrk shkuba alikuwa na mtandao mkubwa naye.... . ,

ova
 
Hao wamefundishwa kazi na chonji
chonji alkua noma anamiliki nyumba mtaa ule wa jangwani sea breeze alkua analeta mzigo kwa boti tena una escort ya jeshi kuhusu mali ndo usiseme
 
Screenshot_20170419-075848.png
 
Hao wamefundishwa kazi na chonji
chonji alkua noma anamiliki nyumba mtaa ule wa jangwani sea breeze alkua analeta mzigo kwa boti tena una escort ya jeshi kuhusu mali ndo usiseme
Yaani CHONJI kamfundisha kazi SHKUBA???
 
Back
Top Bottom