Umba Tuku
JF-Expert Member
- Feb 4, 2017
- 2,101
- 1,271
Wewe unaonekana hufatilii habari za huyu jamaa..
Wakati habari zake zinaletwa na kusoma Kila mtu alikuwa anataka japo picha kumfahamu..
Sometimes ukisoma habari ya mtu ambaye anaongelewa Sana Vizuri kumjua.
..kwahiyo hapo wala sioni kosa langu mkuu..
Kaa kimya sometimes!
ndio kuna muda nashangaa sana unavyoiga upande wa pili au wewe ni yule ? 😵