Wacha tusubiri.Hahahahaha atakuja kuleta uzi maana kaahidi ...
Safi sana Rafiki hongera zako na wewe kuwa kitambo uko package
😂🤣😁😁Kaka unakumbuka Uzi wa Intelligent businessman kwa bidada kutoka mwanza lovelovieWao ndio wanahangaika..
Ujue humu wadada ndio wanaongoza kufungua hizi nyuzi ..wakishatendwa wanapotea
HahahahahahaWacha tusubiri.
Asante rafiki☺️
Siukumbuki nikumbushe😂🤣😁😁Kaka unakumbuka Uzi wa Intelligent businessman kwa bidada kutoka mwanza lovie lovie
Tuko hapa tunawasubiriHahahahahaha
Wasomaji tupo live muda wote
Akiwaambia usisahau kunitag.Naomba ukiachika uje pia utuambie🤣🤣
Ewaaa ..wenye mahusiano yaoTuko hapa tunawasubiri
🤣🤣🤣😂🤣😁😁Kaka unakumbuka Uzi wa Intelligent businessman kwa bidada kutoka mwanza lovelovie
Una maanisha jamaa anaweza asiipende ladha ya ile kitu sio?
Hahahahahaha...stress mbaya sana ..mie nilijua ndio wametoka kwa mechi ..mbwembwe zote hz
Mods wameufuta kaka masta alianzisha nyuzi ya kupamba na kusifu baadae afutatu ikamtokea puani Cc LamomySiukumbuki nikumbushe
Vice versa pia inaweza kuwa sababu 😂Una maanisha jamaa anaweza asiipende ladha ya ile kitu sio?
😀 😀
Hahahahahaha..au akakuta kitu sicho wkt ,mashemeji tushatangaziwa hukuUna maanisha jamaa anaweza asiipende ladha ya ile kitu sio?
😀 😀
Hahahahaha huo ulinipita MkuuMods wameufuta kaka masta alianzisha nyuzi ya kupamba na kusifu baadae afutatu ikamtokea puani Cc Lamomy
Huyo ni chinga ni ndugu yangu pia sasa sijui unanichongea ili iweje🤣🤣🤣
Intelligent businessman kuna mtu anakuchokoza huku
😂😂😂Hahahahahaha...stress mbaya sana ..mie nilijua ndio wametoka kwa mechi ..mbwembwe zote hz
Mwamba aliandika na kuchora verse za mahaba mwishoni yakaishia akhera 😂🤣😁Hahahahaha huo ulinipita Mkuu