Hatimaye nimempata!

Hujapitia magumu wewe....kuna muda usingle ni raha sana
Hakuna mahusiano rahisi, napambana Tu....Kama zimeshindwa kuishi Kwa Amani nchi ziloungana itakuwa binadamu.....Mie mwenzio nimejigeuza Tanganyika, Kama nipo....Kama sipo🤣🤣🤣🤣
Mwendo wa kujizima data🤣🤣🤣
 
Nimeipenda hii, ashindwe....Ila msimamo nnao bwana, sijatoa hata busu nini papa🤣🤣🤣
 
Zingatia kanuni moja tu: No Secret, No lies and respect one another. Kuna wakati utamwona wa kawaida sana lkn usiruhusu hali ya kumzoea. Maisha yenu yatakuwa na furaha daima. Remember love is a Choice NOT feelings. Nakutakieni maisha mema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…